Mkuu mimi siku ikifika nafuu nife kwa kupigwa bomu kuliko kufa masikini na wakati hela zangu zipo NSSF, Hawa jamaa ni matapeli, pesa tulizochangishana sisi na waajiri wetu wao wanataka kutupangia namna ya kutulipa!!!?? huu ni wizi mkubwa na utapeli ulio pitiliza, Nyie NSSF mtatoa au hamtoi...