Anahitajika dereva mwenye leseni ya gari na mwenye account ya bolt aliye na uzoefu wa kuendesha bolt Dar es salaam.
Gari iliyopo inatumia mfumo wa gas, malipo ni kwa hesabu ya siku sio ya mkataba. Aliye tayari anicheki Dm.
=====
Update: Dereva amepatikana
Mkuu me nina mchele mwingi mbeya, nataka kuja kuuzia dar kwa jumla. Sihitaji kuwa na fremu huko nataka niwe nauleta nakuuza moja kwa moja, Kama wanavofanya mabibo kwenye soko la viazi pale. Vipi kuna hilo soko la mchele hapo dar?
Leo ndio naiona hii thread yangu. Ngoja nitoe mrejesho, kwanza nashukuru sana kwa ushauri wenu wakuu ulinisaidia sana katika kuniongoza kuchagua gari sahihi kwa matumizi yangu kipindi hicho.
Niliupokea ushauri wenu nikauchakata kwa kuzingatia mahitaji yangu niliamua kununua RUN X, kwa kweli ni...
Wadau habari zenu, katika harakati za kujitafuta kama kijana nimepata kiasi flan cha pesa nataka kujenga. Bajeti ya kiwanja ni 4 M to 5M.
Nahitaji kupata kiwanja maeneo hayo ya maili moja sababu ya ukaribu wa eneo nifanyapo kazi (mbezi mwisho) sababu nategemea kuanza ujenzi mwezi wa sita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.