Recent content by strategist

  1. S

    Je TRA wanatoza Ushuru wa ziada kwa Tairi Mpya zikiwa zimepakiwa ndani ya Gari kutoka Japan ?

    Wadau kuna Gari nataka kuagiza kutoka Japan lakini ajenti ameniambia litakuja na tairi mpya zikiwa zimepakiwa ndani ya gari, sasa swali langu ni kwamba, Je kuna ushuru wa ziada kwa zile Tairi zilizopakiwa ndani ukiacha ushuru wa Gari lenyewe?
  2. S

    Je, ni salama kulipia Gari SBT japan kwa Kutumia Commercial Invoice

    Nafikiria Kulipia Kesho, nasubiri mawazo ya wadau wengine
  3. S

    Je, ni salama kulipia Gari SBT japan kwa Kutumia Commercial Invoice

    Naomba ufafanuzi ili nisije kuingia matatani , Kimsingi naelekea CRDB kulipia gari kutoka kwa hawa SBT japan, Lakini najiuliza mbona wamenitumia commercial invoice badala ya Proforma invoice. Kuna mtu yoyote ashalipia gari kutumia hiyo commmercial invoice ? Je, hawa jamaa ni waaminifu, maana...
  4. S

    Duka gani hapa Dar wanauza Adruino Uno

    nahitaji, ntakucheki PM
  5. S

    Duka gani hapa Dar wanauza Adruino Uno

    Mara nyingi nimekua nikiagiza electronics components kupitia online platform kama alibaba, tatizo vifaa vinachukua mda mrefu kunifikia na kuchelewesha project zangu. Swali langu ni, ni je hapa dar kuna duka linalouza hizi adruino na components nyingine za electronics ukiachana na yale maduka ya...
  6. S

    Mishahara serikalini

    hata vidole havilingani japo vyote ni vidole
  7. S

    Mhenga nimehitimu PhD in Media Studies, mwenye connection ya ajira tafadhali

    Endelea kupambana tu mdau usikatishwe tamaa na michango ya wanajamvi. Chakukushauri jaribu kucheki na academic institutions za nchini au hata nje ya nchi nadhani watu wenye level ya PHD bado wanahitajika sana hasa kwenye kufanya tafiti mbalimbali.
  8. S

    Waliotakiwa Ku ripoti Makao makuu-TRA Mara baada ya Kukwarua Ajira zilizokua na Ushindani Mkubwa

    dah we jamaa mchokozi embu punguza tambo kidogo, anyway lini mnamwaga wino?
  9. S

    Angalizo kwa waajiriwa wapya wa TRA

    umewapa ushauri mzuri, wakikengeuka wasije kutusumbua humu.
  10. S

    Kuhusu walio chaguliwa nafas za kazi TRA hivi karibuni

    Nashindwa kuelewa watu wanasapoti mambo ya kubebana wakati kila mara wamekua wakilia humu jukwaani wanakosa kazi sababu kuna watoto wa wakubwa wanabebwa kwa kujuana. jamani tusitetee huu ujinga just imagine ungepigwa chini wewe sababu huyo dada kamfanyia rafiki yake mazabe bado ungechukulia...
  11. S

    Ushauri wa bure kwa mliokosa kazi TRA

    Yanini tuandikie mate, mkishapewa barua zenu msisite kurudi jamvini kutupa mrejesho
  12. S

    niende tra au nifanyaje wakuu?

    kwani una mda gani tokea uanze kupiga kazi na wachina, kama ushatengeneza connection za kutosha nakushauri nenda TRA huku ukipiga business zako taratibu, unaweza kutafuta kijana uka mtrain wewe ukawa msimamizi hii itakupunguzia majukumu bila kuathiri utendaji kazi wako serikalini
Back
Top Bottom