Waliotakiwa Ku ripoti Makao makuu-TRA Mara baada ya Kukwarua Ajira zilizokua na Ushindani Mkubwa

British SAS

Member
Oct 19, 2017
60
146
HAYA NDIYO YALIYOSEMWA.

-Dada Kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) alianza Kuwapongeza vijana wote wenye Uwezo wa Hali ya Juu waliweza Kufaulu saili zote.

-Mpaka Sasa Walioripoti hawajafika 400

-Wanasubiri Siku 14 zipite ndipo wawaite kwa kupigiwa Simu ama Email

-Sehemu ya Kukutania Itapangwa itawekwa Wazi hapo baadaye

-Hata kama hujapigiwa Simu ukisikia Kwa Wenzio kama Una ile Barua yenye Muhuri adimu iliyotoka Utumishi Uta takiwa Kuripoti

-Hapo ndo Mtapangiwa Vituo Vyenu na Kwenda Kulitumikia Taifa.

Ndo natoka hapa Posta naelekea pale walipokua wananipunja Salary.

Thread hii imeandikwa na
British SAS

NAKALA KWA,
Perry tax compliant
 
Hahahaaa mkuu hapa naona kuna mtu unamchokoza na ukipigwa mimi sikusaidii, by the way naingoja hiyo siku kwa hamu kubwa. Hongera sana afisa.
 
Nomaa sana halafu nimeona Wazee wazee wengi kweli inamaana wamewazidi Washinda Jamii Forums a.k.a Team Mondi na Kiba?
Hahaa uliwapa tips wakapuuza, mimi muziki nasikiliza ila mambo ya muhimu pia nafuatilia sana tu. Wazee ni wengi na nimekutana nao kadhaa, wengi pale ni 28 na kuendelea yaani mdogo labda ni mimi tu.
 
ila naona watu wengi hawajaripoti leo..na bado sisi wengine Baadhi tulioripoti tunawaza tukipangwa mikoani hatuendi..
 
Nina uhakika kati ya hao 400 kuna watu kama 30 na kuendelea wanaweza wasirepoti!ngoja tusubiri hiyo j3
nikiwemo na mimi mkuu,hapa nataka tu nione mkataba wao na salary wanayotoa pamoja na kituo watachonipangia then nitoe maamuzi sahihi..ila kituo nje ya Dar,arusha au kilimanjaro kwa kweli sitoripoti kabisa,ntaendelea na wachina wangu tu.
 
Dogo, jiandae kwenda chuo cha kodi miezi 12 pale mikocheni. Huendi field ghafla hivyo, lazima mkapigwe msasa kwanza pale ITA miezi 12 kisha ndio mpangiwe vituo.
 
HAYA NDIYO YALIYOSEMWA.

-Dada Kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) alianza Kuwapongeza vijana wote wenye Uwezo wa Hali ya Juu waliweza Kufaulu saili zote.

-Mpaka Sasa Walioripoti hawajafika 400

-Wanasubiri Siku 14 zipite ndipo wawaite kwa kupigiwa Simu ama Email

-Sehemu ya Kukutania Itapangwa itawekwa Wazi hapo baadaye

-Hata kama hujapigiwa Simu ukisikia Kwa Wenzio kama Una ile Barua yenye Muhuri adimu iliyotoka Utumishi Uta takiwa Kuripoti

-Hapo ndo Mtapangiwa Vituo Vyenu na Kwenda Kulitumikia Taifa.

Ndo natoka hapa Posta naelekea pale walipokua wananipunja Salary.

Thread hii imeandikwa na
British SAS

NAKALA KWA,
Perry tax compliant
Kama walikuwa wanakupunja mshahara mbona hukuacha kazi na badala yake ukaendelea kuwanyenyekea. jaribu kuwa na shukrani mkuu. kuna wenzio hata hiyo kazi ya kupunjwa mshahara hawapati.
 
Dogo, jiandae kwenda chuo cha kodi miezi 12 pale mikocheni. Huendi field ghafla hivyo, lazima mkapigwe msasa kwanza pale ITA miezi 12 kisha ndio mpangiwe vituo.
mbona wamesema kutakua kuna orientation ya siku kumi then ndio tunapangiwa vituo,au me ndio niliskia vibaya mura?
 
HAYA NDIYO YALIYOSEMWA.

-Dada Kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) alianza Kuwapongeza vijana wote wenye Uwezo wa Hali ya Juu waliweza Kufaulu saili zote.

-Mpaka Sasa Walioripoti hawajafika 400

-Wanasubiri Siku 14 zipite ndipo wawaite kwa kupigiwa Simu ama Email

-Sehemu ya Kukutania Itapangwa itawekwa Wazi hapo baadaye

-Hata kama hujapigiwa Simu ukisikia Kwa Wenzio kama Una ile Barua yenye Muhuri adimu iliyotoka Utumishi Uta takiwa Kuripoti

-Hapo ndo Mtapangiwa Vituo Vyenu na Kwenda Kulitumikia Taifa.

Ndo natoka hapa Posta naelekea pale walipokua wananipunja Salary.

Thread hii imeandikwa na
British SAS

NAKALA KWA,
Perry tax compliant
Sawa mkuu
 
Karibuni sana serikalini sisi tupo toka enzi za JK maisha yalikuwa matamu na ubabaishaji mwingi pia familia zetu niliishi Kwa kipato cha pembeni

Ukiwa na mawazo ya kipindi kile kuwa tunafaidi switch to another station, jikubali kuwa utaishi Kwa kipato chako halali.

Nawatakia utumishi mwema tutaonana tu kitaa kwenye kazi japo hatufahamiani.

NB. Tafsiri lile tangazo la pombe/bia katika uhalisia wa maisha ya utumishi wa umma.(kunywa pombe kupita kiasi ni hatari Kwa afya yako, kunywa kistaarabu)

Kulipa kodi ni uzalendo kuwa mzalendo kusanya kodi Kwa uaminifu tujenge nchi yetu
 
Back
Top Bottom