Mishahara serikalini

Mishahara serikalini

Kadanganye walimu wa shule ya msingi

Dereva wa polisi ni polisi hiyo ni kazi yake kuendesha na kukamata

Mshahara ni mmoja Tu wa kazi yake ya upolisi huo udereva ni kitengo Tu labda kama kina posho
Kumbuka huyo mwl unayetaka adanganywe ni huyohuyo aliyekufundisha kupenga kamac kukufundisha kusoma kuandika na kuhesabu ndomaana ssa unaringa achakujikweza covzr
 
Walinifundisha ndiyo
Ila najuta kufundishwa na watu wasiojitambua toka Niko mdogo wanalia shida mpaka wanastaafu ukifika uchaguzi wanagombania T-shirt za NEC
 
Walimu wengi ndo wanalishabikia hili, wana roho mbaya na tumishahara twao wanataka kila mtu awe na hali ngumu kama wao. Mshiiiiindweeee
 
HAIWEZEKANI. WEWE UNAFANYA KAZI MAHAKAMA HUKO HUINGIZI MAPATO, KILA KITU UNATEGEMEA SERIKALI KUU HALAFU UNATAKA UWE NA MSHAHARA SAWA NA MTU WA TRA ANAYEKUSANYA MAPATO AU MTU NSSF ANAYEBUNI MIRADI YA UWEKEZAJI NA KUONGEZA MAPATO AU UFANANE NA MTU WA BoT ANAYEREGULATE UCHUMI. HAIWEZEKANI.
 
Unakusanya mapato yako????? Basi traffic kwa sasa wangelipwa sawa na TRA...
Kwani muuza duka ela anatia mfukoni????na TRA wenyewe unakuta wengine kama si wengi ni wahujumu uchumi...mtu ana gari 15????!!! hiyo kodi yake au ya serikali?!

Hawa walitakiwa watimuliwe wote kama alivyofanya Mkapa waajiri vijana wapya waliopo kitaani...walizoiba zinatosha....
 
Pambana na hali yako ngumu ya maisha, wao ndo wameishatoka hivyo we kaa kulia na roho yako ya kwanini.
 
Back
Top Bottom