Imezuka tabia ya kijinga sana ya watu kushangilia mashindano ya hizi basi za abiria. Huu ni ushamba na ujinga na ni chanzo cha ajali nyingi tu. Mamlaka lazima zichukue hatua.
Niambie sheria gani inayokulazisha umpeleke mwanao akafundishwe na hao walimu inaowaita vilaza?, Nitajie sheria ipi ya nchi?
Nimeshauri kwamba kama hao walimu hawafai mpeleke mwanao akafundishwe na watu unaowaheshimu mbona wako wengi sana.
Siku za hivi karibuni kumezuka kasumba mbaya sana ya kudharau na kupuuza walimu. Watu wanaodharau walimu wamejiegemeza kwenye hoja kwamba walimu ni watu wanaolipwa mshahara duni, hivyo hawana hadhi katika jamii.
Wapo watu walifika mahali wakesema, kazi ya bodaboda ni kazi yenye heshima kuliko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.