Recent content by stongwomang

  1. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kweli mapenzi ya dhati yapo

    True love exist but in rare cases
  2. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kweli mapenzi ya dhati yapo

    Change your attitude ,change your life.wanaume wote sio saw a na wewe sio wa kwanza kuumizwa usipoteze mda kwa kuishi na negativity use your time wisely since it is limited there is no extra time. You can do it just think positive ,ondoa over expectation and be real,don't be an easy girl .good...
  3. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Nifanyeje niache uzinzi?

    Change your attitude change your life.hata ukishauriwa weee kama wewe hauko ready kuacha ni kazi buree Zaid tafta kitu cha kukukeep busy concentrate more on your family development and productive activities.
  4. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mimi nina masters nataka kuoa Darasa la saba

    Katika kutafta mwanamke wa kuishi nae usiangalie sana kasoma hadi level gani we check IQ na kama mnaendana na kuelewana pia kama anakuheshimu pia. Uwezo wa kupambanua mambo mbalimbali ya kimaish usisahau.kila la kheri
  5. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nisaidieni jamani

    Fatilia siku zake kwanza ujue je zilikuwa SKU za hatari?kama ndo hivyo subiri had masaa 72 yapite then akapime urine.hapo mtajua kama kanasa au LA. Pia kuna vidonge vya uzazi wa mpango vya kuzuia but sikushauri atumie kabla hajazaa kwani vinaweza kumletea matatizo makubwa akaja kujutia baadae...
  6. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama unataka kufurahia Mapenzi oa Mwanamke asiye na Kazi

    Mapenzi hayana formula Mungu tu atusaidie.
  7. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Amenisomesha, kaninunulia gari lakini sina mapenzi naye

    Kweli elimu ya SKU hizi?
  8. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Amenisomesha, kaninunulia gari lakini sina mapenzi naye

    Nyambaf nyie ndo mnatuzibia rizik za kusomeshwa
  9. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Majeruhi wa mapenzi, tushauriane tufanye nini

    Cha muhimu ni kulet it go na kujifunza usirudie tena makosa.pia wadada usitoe mwili wako mapema hadi ujihakikishie mko kwenye serious and committed relationship. Sex haimfanyi mwanaume awe committed jamani kuna vitu a part from sex anahitaji .
  10. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumbe ana mtoto nimemuacha na nimemfukuza

    Wanaume bwanaa.nyie mkiwa na watoto tunawavumilia lakini sisi ngumu.mkuki kwa nguruwe badilikeni hakuna mwanamke anayefurahia kuzalishwa nje ya ndoa
  11. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nisaidieni jaman mke wangu ataniua

    Mkeo ni mfanyakazi???kama la mtafutie hata kimradi cha kumuweka busy yatapungua hayo na huku mtakuwa mnaongeza kipato cha family
  12. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya kupata ajira amkimbia mumewe

    Sio wadada wote jaman.ni kuwa tu makini maisha hayafanani kila mtu na maisha yake ingawa hili ni fundisho pia
  13. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini ndoa nyingi siku hizi hazidumu?

    Watu wanaigiza sana siku hizi hasa wanawake.anafunga ndoa tu ili apate status kwenye jamii inayomzunguka hawajui kuwa maisha ya ndoa ni zaid ya status . Tatizo lingine ni over expectation for both hasa wanawake na kutovumiliana kujua kwamba mwenzangu si mkamilifu wanafikiri kuachana ndilo...
  14. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania 2014 mapenzi yameniumiza sana, mademu ni wakorofi

    No one is perfect na ukiona mtu analalamikia sana wenzie ujue yeye ndo ana matatizo.jichunguze kwanza na ww mtoa mada.happy new year 2015
Back
Top Bottom