Hivi kweli mapenzi ya dhati yapo

Hivi kweli mapenzi ya dhati yapo

Mkuu hapo solution ni kumshirikisha Mungu ingawa njia hii huonekana kama ngumu hivi . Ukimuomba Mungu atakupa mtu anaekufaa na mwaminifu ila yapasa uwe na subira na imani vinginevyo tegemea bahati nasibu
 
Tatizo unachukulia mapenzi serious sana......utakufwa you know........hebu take it easy uone jinsi rahisi......try to have varieties you know.......only two.......mamamia........YOLO........Shauri yako.......

Preta hufai wewe ushauri gani huu lol
 
Kama tamaa yako ni kupata watoto tuu mbona simpo! Waweza kwenda hospital...watakupandikiza mbegu za kiume na utabeba mimba, hatimaye utapata mtoto/watoto.

Au katka madume wanaokutokea mkubalie mmoja, pimeni h.i.v, alafu zile cku za kutunga mimba jipeleke akakupe kibamia...usikwepeshe,. Baada ya wiki tatu, kapime kama una mimba. Kipimo kikionesha una mimbaaa, kata mawasiliano na aliyekupa mimba...endelea na maisha yako na usimwambi chochote kuhusu iyo mimba, BASI, TAMAA YAKO YA KUPATA WATOTO WAKO ITAKUWA UMEWINI. Na wanaume utawapotezea jumla. Nadhani nimekupa suluhu ya tamaa yako.

Huu ukatili khaaa!
 
Una Maanisha Nini? Acha Kumdanganya Mwenzako,wewe Mwenyewe Ulikuwaga Unalia Kila Siku Ukitendwa,au Umesahau Nikukumbushe??

Ni kweli nakumbuka lakini siku hizi siliii tena nimeyavhukulia kama kunywa maji ..mi sikupendi
 
Preta hufai wewe ushauri gani huu lol

Nafaa bana.........sasa kama anachukulia serious mahusiano yenyewe haya ya siku hizi huoni atakufwa for them you know.........gadem mbululazzzz mazafantazzz..........
 
yawezekana wewe ndiyo huna hayo mapenzi ya dhati!

Nitafute pm

Nachosema kinatoka moyoni sitanii. Nina mapenzi tena zaidi ya dhati. Lakin nimekutana na majanga ya watu wacojitambua.
 
Asante kaka.

Hapana hiyo sio maana yangu.

Wewe kuwa dhaifu sio tusi ndio hali halisi ilivo...life is a game.
Ndio maana unashindwa kuishi na wanaume...solution ni kujitambua kwamba we ni dhaifu na to play it hard.
Fata ushauri wa Preta
 
Last edited by a moderator:
Jaman nimeumizwa mpaka nimepata ugonjwa wa moyo. Kiac cha kwamba kila mwanaume anayenitaka naona taabu kufungua moyo wangu kwake. Nimewah kuwa na marafiki wawili wa kiume mpaka umri huu wa miaka 31. Nifanyeje jaman nataman kupata watoto ila nikikumbuka maumivu nlyopata nakosa ujasiri. Nishaurini mwenzenu.
Kwa umri huo wa miaka 32 una chance ya kupata hata watoto watatu. Tafuta mwanaume ambaye mnalingana au kumzidi kiumri ambapo utakuwa na nafasi ya kujiamini. Unaweza kufunga naye ndoa au hata kupata watoto naye. Suala hapo siyo kuzaa tu, kwa hiyo si kazi sana. Suala ni kwa nyote wawili kulea watoto wenu na ku determine future yao.
 
Inawezekana kweli ukawa una mapenzi ya dhati kwa mwanaume ila je huyo uliyenae ni sahihi kwako? kunakitu unatakiwa kuwa makini kuna wanaume wanachezea tuu akili zenu na hasa suala la kufanya mapenzi, angalia the way how is he treating u. je ni mpenzi tuu kwaajili ya sex only au ana future na wewe? mara nyingi msimamo wa mwanaume unategemea sana nguvu aliyonayo mwanamke na mwanamke una nafasi kubwa sana ya kumbadili mwanaume ila kama yeye atakua anakutaka gemu unaenda unampatia eti una mjali tuu ujue unapotea dada yangu.
kwa sasa tuliza mawazo usikurupuke kulazimisha kuwa na boy ila angalia vigezo unavyovitaka kutoka kwa boy unayehisi anakufaa na hapo pima maneno ya mwanaume na pia angalia ujasiri aliyenayo mwanaume sio anakutongoza kwa sms na wewe unakubali tuu haraka haraka pata yule ambaye anajiamini anakukabili na sio kutumia mtu wa jirani au rafiki yako why is he using indirect method while atakuwa wako na mtakaa pamoja one day je atakuwa indirect hivo hivo
 
sifa ya mapenzi ni lazima yawe ya dhati nje ya hapo si mapenzi ni ufuska just a simple view
 
Pole sana,wapo wenye mapenzi ya kweli,kua na subira na uvumilivu.
 
Change your attitude ,change your life.wanaume wote sio saw a na wewe sio wa kwanza kuumizwa usipoteze mda kwa kuishi na negativity use your time wisely since it is limited there is no extra time.
You can do it just think positive ,ondoa over expectation and be real,don't be an easy girl .good luck cisy
 
Tatizo unachukulia mapenzi serious sana......utakufwa you know........hebu take it easy uone jinsi rahisi......try to have varieties you know.......only two.......mamamia........YOLO........Shauri yako.......

hahahaaaaaa.. YOLO
 
Nafaa bana.........sasa kama anachukulia serious mahusiano yenyewe haya ya siku hizi huoni atakufwa for them you know.........gadem mbululazzzz mazafantazzz..........

Kweli 'beauty is but skin deep'!! Maneno haya yanatoka kinywani/rohoni mwako!! Pole kama uliwahi kutendwa,but i aint impressed.
 
Back
Top Bottom