Yan mpaka leo nyie mnawaza uchaguzi...wao wawaze uchaguzi na sisi tuwaze uchaguzi aaah wapi! Sugu na mwanjelwa ni watu tu na CCM and CHADEMA ni vyama 2...so KATIBA iz everything kwa sasa so hayo madudu,tukipata katiba bora..mifarakano kama hiyo itaisha
Mimi pia ni mtanganyika lakini siku hizi naitwa mdanganyika...mimi simjui na naogopa kuzungumzia,KUMBUKA MANENO YA BABA WA TAIFA ALISEMA "tukianza sisi kujitoa hatutakaa salama" SO INABIDI NIENDELEE KUDANGANYIKA na kusubiri kuongea kwenye katiba swala hilo
I'm the man u fan not spectotor....Inaniuma kuona mpaka leo hatuna kiungo cha kutumainiwa...Where r u shneijder,leo kama kawa pointi 3,then tuone kama city watapumua?
I'm the money u fan not spectotor....Inaniuma kuona mpaka leo hatuna kiungo cha kutumainiwa...Where r u shneijder,leo kama kawa pointi 3,then tuone kama city watapumua?
Ni tatizo binafsi la uropokaji,hata kama Mbatia alikuwa na tatizo alitakiwa akaongelee kwenye kamati kuu ya chama sio kutaka kuonekana na kusikika wakati ana nyongo ndogo.....
Pamoja na small number ya wasomi tulonayo...but ktk hali halisi inaonyesha Mtz mmoja msomi ni sawa na wakenya 2...wakenya hupenda kujifanya wanajua hata wasivyojua na ndio maana mna walimu wengi wa Kiswahili nje than us wakati njie hamkijui..hatuwachukii ila mnajistukia sana labda kuna hujuma...
Chriss brown!!!!! Da umenigusa hapo, mi mwenyewe yashawahi kunipata,aliipona simwachi...akaniambia yeye hawezi fanya ngono nami milele...Nikamwambia tuachane,duuuh akafurahiii up to now more than 2 years hajanitafuta sijamtafuta.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.