Recent content by stivii

  1. S

    Maridhiano ya CHADEMA na CCM bila kuwaondoa wabunge fake 19 bungeni na kuwaachia wanachama na wafuasi wa CHADEMA Magereza hayana umuhimu

    Ungerekebisha hapa mkuu.... waliokuwa wanaomba maridhiano ni Chadema, CCM hawajawai kuwafata Chadema kuomba maridhiano. Asante
  2. S

    Baada ya kukosa ajira naomba ushauri au msaada

    Pole sana mkuu ila kwa nini unaweka dhamana nyumba?
  3. S

    Community Relations Officer at Tembo Nickel Corporation

    Naskia hawakupi kazi kama sio wa uko Ngara?
  4. S

    Jamaa yangu ana Pass degree ila kapata kazi kwenye multinational company bila connection

    Mungu ndio anatoa rizki kwa kila mmoja fanya unachoweza mengine tumuachie Mungu. Mimi nimeshafanya kazi ofisi zina maboss vilaza lakini still ni maboss na wanaongoza institution na zinaenda hazifeli.
  5. S

    Uwezo wa Lily Ommy umeshuka toka aingie Wasafi Media

    Ommy anapata comments mbaya kwa sababu ya sehemu aliyopo. Ila kipaji bado ni kilekile.
  6. S

    Nawezaje pata nguo za jumla?

    Nguo za dukani au za mtumba? Za kike au kiume?
  7. S

    Duka linapitia changamoto ya kukosa wateja. Mbinu ipi nitumie?

    Dah haya sawa mkuu nashukuru kwa ushauri wako
  8. S

    Duka linapitia changamoto ya kukosa wateja. Mbinu ipi nitumie?

    Ni miezi hii miwili ndio. Sawa nitamwambia huu uzoefu wako
  9. S

    Duka linapitia changamoto ya kukosa wateja. Mbinu ipi nitumie?

    Anafanya insta ads ila wambea bado hajawapelekea. Unashauri celebrity gani atafaa sana kumpelekea tangazo walau wawili watatu ambao wanaweza leta matokeo?
  10. S

    Duka linapitia changamoto ya kukosa wateja. Mbinu ipi nitumie?

    Asante mkuu ila nikimwamishia Mbeya roho yangu itakuwaje mzee mwenzangu 😂😂😂
  11. S

    Duka linapitia changamoto ya kukosa wateja. Mbinu ipi nitumie?

    Kuhusu muda anajitahidi maana anafungua kila siku kuanzia saa 3 mpaka saa 2 usiku kasoro jumapili ndio anachelewa kufungua sababu ya ibada.
  12. S

    Duka linapitia changamoto ya kukosa wateja. Mbinu ipi nitumie?

    Okay sawa nimekuelewa. Unaweza nitajia baadhi ya vipodozi anavyoweza kuweka vikavutia wateja ili kama hana nimwelekeze aviweke?
Back
Top Bottom