sonzawileme
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 527
- 328
Mimi Nilihitimu Chuo 2015 Kada ya ELIMU baada ya Changamoto ya Ajira kuwa kubwa nililazimika kujiajiri Kuuza duka la Chakula hapa Dar es salaam.
Nimebahatika kupata Nyumba (Kibanda) lakini Changamoto niliyonayo baada ya kufanikiwa Kujenga hali ya Msingi umekua wa Kusuasua mpaka kuihudumia familia napata Tabu Maombi yangu Member's mwenye uwezo wa kunisaidia:-
1.Naomba kufahamishwa namna ya kupata Mkopo usiopungua Mil 3 ikiwa kwa MTU au Bank kwa Shart La Udhamin wa Nyumba.
2.MTU wa Kunisaidia CONNECTION ya Kupata Bidhaa za Kuuza harafu Narejesha Malipo.
Contact: WhatsApp 0769946412 . Naomba kusaidiwa