Recent content by stiff

  1. stiff

    JamiiForums Tanzania Nani anagharamia matumizi ya Lema, Msigwa na Mbowe huko Nairobi?

    umeskia wanakula kwa baba kama wewe wale? ni watu wenye uwezo, na kenya sio nchi ambayo inahitaji gharama kubwa sana kuishi kwa mtu alietoka Tanzania. Hizi maneno chafu chafu ndio zitaigeuza nchi mfano wa Libya...... mambo hayana msingi kabisa Sent from my SM-A5100 using JamiiForums mobile app
  2. stiff

    JamiiForums Tanzania Ushauri: RunX na Allex

    kila gari mpya inatumia umeme hauwezi kuukimbia, ni kama kwako tu ikipiga shoti usipo irekebisha itasambaa na kwengine kama hakuna circuit braker, kama unataka fuel efficient car go for it, its simple and good. Allex ina nafasi kubwa ndani na Run X ina base nzuri barabarani, so kama ni mtu wa...
  3. stiff

    JamiiForums Tanzania Mada: Fahamu mambo mbalimbali kuhusu gari aina ya Subaru Forester

    ahsante kwa ushauri.
  4. stiff

    JamiiForums Tanzania Mada: Fahamu mambo mbalimbali kuhusu gari aina ya Subaru Forester

    Naombeni ushauri juu ya hii gari, nahitaji isiokua na turbo engine kuanzia mwaka 2004 hadi 2006. Natanguliza shukurani
  5. stiff

    JamiiForums Tanzania AuDi A4 Garage

    bashite weee![emoji38]
  6. stiff

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kericho Town.Tea town in south rift,kenya.

    tukiweka mbali kelele, huo mji ni wa kipekee Tanzania town planing zimetushinda. kelele za kuhamia dodoma zinazidi ilhali mji wa vyuo vikuu hauonekan kwenye mipango, mkoa wa viwanda morogoro hausikiki, Ghala la taifa iringa halieweki. Kenya wametuzidi sana tuwatumie kama mfano.
  7. stiff

    JamiiForums Tanzania Mafundi body na engine pitieni Uzi huu

    taja offer, nnalo
  8. stiff

    JamiiForums Tanzania Mwenye Ufaham Matumizi ya Petrol Toyota Altezza Toka Tabata Segerea mpaka Posta Kwa siku

    pitia thread ya mshana, mambo yote unayouliza yameshachambuliwa vizur sana!
  9. stiff

    JamiiForums Tanzania I want to buy a car!!

    suala la baba linafikaje sasa hapo!
  10. stiff

    JamiiForums Tanzania PETROL NOZZLES!

    funga ya spacio mkuu
Back
Top Bottom