resonanceiduufu
Senior Member
- Jul 29, 2016
- 112
- 62
Habari ndg zangu!
Nina gari aina Ford Escort model ya 2000, shida kubwa ni fuel nozzle! Nmeagiza ziletwe ila niliyemwagiza kila siku ananipiga tu tarehe mara mwezi ujao mara wiki ijayo... Na sasa miezi 4 imepita hajazileta!
SWALI:: JE, NAWEZA KUWEKA NOZZLE ZA GARI NYINGINE TOFAUTI NA FORD ESCORT ili kuepuka usumbufu wa kuagiza mara kwa mara??
Na kama inawezekana... JE, NIWEKE ZA GARI GANI?
au kuna MODIFICATION napaswa kufanya ili ziendane!!?
Tafadhali naomba msaada wenu!!