AuDi A4 Garage

Rodcones

JF-Expert Member
Oct 16, 2007
402
50
Wakuu kama kichwa cha habari hapo juu
Nina audi a4 nisaidieni garage naweza kubadili transmission fluid
yaani oil ya gearbox na service kwa ujumla

Natanguliza Shukrani
 
Wewe uko wapi? Anyway nenda kwa garage yoyote wanazotengeneza BMW au vw au Benz watakusaidia pia gari za mjerumani usitumie oil za bei chee waulize best oil au agiza oil ya Audi Uganda zipo nyingi. Fundi makini unaweza mpa clip za YouTube akapiga kazi bomba tu. Wala usikimbizane na garama za ajabu. Good morning!
 
Wakuu kama kichwa cha habari hapo juu
Nina audi a4 nisaidieni garage naweza kubadili transmission fluid
yaani oil ya gearbox na service kwa ujumla

Natanguliza Shukrani
Kwanini usiende CFAO Motors ambao ni dealers wa Germany cars kama mercedes au ukaenda Mikocheni ukacheki na jamaa mmoja anaitwa Jerry?
 
Wakuu kama kichwa cha habari hapo juu
Nina audi a4 nisaidieni garage naweza kubadili transmission fluid
yaani oil ya gearbox na service kwa ujumla

Natanguliza Shukrani
Mpigie Babu 0688983377. Huyu ni bingwa wa VW Audi vehicles.
 
kwa transmission service tafadhali nipe details za gari kama transmission code kisha nikupe parts and labour quote plus uasfiri kama uko mkoa tofauti then you decide
Nina specialize na gari za Europe, mitambo na matatizo sugu ya machine na vifaa.
fb mercs & marques
 
Back
Top Bottom