Maisha pesa
JF-Expert Member
- Nov 6, 2015
- 681
- 630
Wakuu nimetokea kuzipenda sana hizi gari kutokana na muonekano wake ni gari za kisasa zaidi, engine size below 1500, zipo zenye 4wd pia, ziko spacious lakini pia nimeambiwa ni comfortable sana.
Ningependa ninunue moja wapo kati ya hizo lakini kuna watu wamenishauri kuwa system yake ya umeme haifai zitanipa shida sana. Kikizingua kitu kimoja kinapelekea kufeli kwa vitu vingine kwenye gari.
Halafu nimeambiwa taa zake ni gharama sana zinauzwa laki8 na haiuzwi moja lazima ununue mbili. Kuhusu spea pia nimeambiwa ziko juu.
Naombeni ushauri kwa wenye kuzifahamu gari hizo.