Recent content by Stevery2

  1. Stevery2

    Ni kweli TISS hawafahamiani na hawaaminiani?

    True, sio kaz nzuri kama tunavyo dhania
  2. Stevery2

    Kufunga lenta ya msingi kwa kutumia waya badala ya nondo

    Hakuna lenta ya msingi, labda sijaelewa. Lenta ni sehemu ya jengo inayo tumika kuziba sehemu zilizo wazi, mfano Mlango na madirisha nijuavyo mimi. Angalia picha hizi.
  3. Stevery2

    Video: Sirro hawezi kujibu maswali Magumu, ashindwa kusema Taarifa za kiinteligensia ni nini?

    Waulize tuu wao Kachero wana mtambuaje na majukumu yake. Wana utani, tofauti ya siasa na utendaji ni kubwa mnoo. Mkuu wajuze labda, watoto wa kiume wambea hahaaahaa
  4. Stevery2

    Ujenzi wa nyumba ya room mbili

    Taja mahitaji na ukubwa wa kila sehemu, mfano chumba ukubwa 3/4msq, rangi aina ya fali bat na n.k. Utapata muongozo. Na kzma una kiwanja au huna
  5. Stevery2

    Video: Sirro hawezi kujibu maswali Magumu, ashindwa kusema Taarifa za kiinteligensia ni nini?

    Mtoa uzi napata tabu, naona kama una chuki, hajashindwa, tafuta mtu yoyote muandamizi mwenye akili timamu ya itifaki hiyo kwenye vyombo vya ulinzi na usalama muulize juu ya intelejinsia akikujibu njoo unikate kidole. Nchi za watu mfamo Isalel, Uingereza n.k watakujibu kutokana na akili za watu...
  6. Stevery2

    Kwa mwenendo huu Diamond tutamsahau baada ya miaka miwili ijayo

    Mtoa uzi bwana!!! Umewaza muziki tu? Biashara vipi? Acha ubwege nazi tafuta hela
  7. Stevery2

    Misheni kubwa za taasisi ya upelelezi MOSSAD!

    Interesting story
  8. Stevery2

    Mtume J Mwingira Kahojiwa na kuachiwa Huru

    Haahaaaahaaa. Labda atakuja na Bulldozer
  9. Stevery2

    Mtume J Mwingira Kahojiwa na kuachiwa Huru

    Usitudanganye, utafanya nini?
  10. Stevery2

    Awamu ya Magufuli ingeendelea, hii nchi ingetumbukia shimoni

    Nilivyoona dp nikajua wale wasio na chogo hata akili hawana
  11. Stevery2

    Kipi Bora kati ya kununua Tofali na kufyatua mwenyewe

    Ndugu yangu. Kwa uwelewa wangu vyote ni bora ila kila sehemu ina unafuu wake na ugumu. 2m. Kwa mkoa wa tabora unapata tofali 2000 za 5nchi, 6inch ni tofal 1800. Hvi. Lakini ukifyatua utapat faida ya tofali 200 hv. nije kwenye mchangunuo. Saruji mfuko 23000. Mfuko kwa foundation wall ni 25-30...
Back
Top Bottom