Kufunga lenta ya msingi kwa kutumia waya badala ya nondo

maimatha

Senior Member
Mar 2, 2013
129
161
Nimeanzisha ujenzi vyumba vya wapangaj nyumba ipo L, fundi wangu kanishaur kama nondo ni bei nitumie wire kufunga lenta ya msingi ...je kwa watalaam ninnaweza tumia wire kwa msingi alafu lenta ya juu nikaweka nondo isilete shida?
 
NUNUA Nondo tu mkuu
 
Inawezekana kabisà
 
Hujengi temporary unajenga kitu cha kudumu fundi anataka uokoe gharama lakini kumbuka A SHORT CUT IS THE LONGEST WAY YOU WERE NOT GOING
 
Hakuna lenta ya msingi, labda sijaelewa. Lenta ni sehemu ya jengo inayo tumika kuziba sehemu zilizo wazi, mfano Mlango na madirisha nijuavyo mimi. Angalia picha hizi.

Screenshot_20211229-192841_Google.jpg
 
Nimeanzisha ujenzi vyumba vya wapangaj nyumba ipo L, fundi wangu kanishaur kama nondo ni bei nitumie wire kufunga lenta ya msingi ...je kwa watalaam ninnaweza tumia wire kwa msingi alafu lenta ya juu nikaweka nondo isilete shida?
Mwambie akukope malipo yake utamlipa ukipata lakini wewe nunua nondo.
Ndugu acha masihara na nondo. Kuna kijumba nilikisimamia hiyo sehemu bila nondo saa hizi kungekuwa na crack saana yaani nondo zinaaana saaaana
 
Nunua Nondo mkuu,, acha janja janja...

Huyo fundi wa mchongo anataka tu kazi,, ila waya sio safi kabisa.
 
ukitaka ikusaidie kidogo nunua waya sinyenge ambazo utahakikisha unautandika kila kozi ya msingi unayoijesha ...inasaidia sana nyumba kutokatika kwa nyufa zinatoka ardhin kutokan na mtikisiko wa ardhi
 
Tumia Nondo. Rahisi Itakugharimu. Mafundi Wengine Ni Unproffessional Au Wanakua Na Tamaa Ya Kutaka Kazi Iende Waweke Hela Mfukoni Bila Kuangalia Kesho Itakuwaje. Kinachofuata Atakushauri Tumia Matofali BISKUTI Ili Kuokoa Gharama Zaidi.
 
Back
Top Bottom