Recent content by Steven Jibe

  1. Steven Jibe

    JamiiForums Tanzania NAOMBENI NYIMBO ZA HBC

    Ndugu wana jamii nakuja kwenu kuwaomba kwa mwenye nyimbo za kundi la bongo fleva la hard blasters crew(HBC) lililokuwa linaundwa na Niger J,Fanani na Big Willy ambazo ni 1.Funga kazi 2.Tuko nyuma kimaendeleo 3.Pata potea na 4.Nusu peponi nusu kuzimu Aniwekee hapa au kwa namba ya WhatsApp...
  2. Steven Jibe

    JamiiForums Tanzania Jaribio la Mapinduzi Gabon

    Serikali ya Gabon imetangaza kuwa, wanajeshi waliohusika na jaribio la kuipindua serikali ya nchi hiyo wametiwa nguvuni. Taarifa iliyotolewa na serikali ya Gabon imesema kuwa, hali ya mambo nchini humo ni shwari na waliohusika na jaribio hilo wamekamatwa. Ripoti zinasema utulivu umerejea tena...
  3. Steven Jibe

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika)

    Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli ameitaka mifuko ya hifadhi ya jamii kuboresha daftari la wastaafu ili kuondoa wastaafu hewa. Leo Dec 28. 2018 na viongozi wa Shirikisho la Wafanyakazi (TUCTA), vyama shiriki, Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (PSSSF & NSSF) na Mamlaka ya...
  4. Steven Jibe

    JamiiForums Tanzania Historia ya Bongo Fleva na walioikuza tangu 1993

    Asante sana nmekuelewa vema
  5. Steven Jibe

    JamiiForums Tanzania Taja jina la shule ya msingi uliyosoma enzi hizoo

    Bujela primary school drs la I-II Masebe primary school drs la II-VII Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Steven Jibe

    JamiiForums Tanzania Taja jina la shule ya msingi uliyosoma enzi hizoo

    Bujela primary school drs la I-II Masebe primary school drs la II-VII Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Steven Jibe

    JamiiForums Tanzania Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu

    Siku nzuri usilie kwa vile imepita bali ufurahi kwa vile ilikuwepo
  8. Steven Jibe

    JamiiForums Tanzania Nimetokea kuipenda JF

    Karbu sana
  9. Steven Jibe

    JamiiForums Tanzania ACACIA: Hatujafikia makubaliano yoyote ya kuilipa Tanzania

    Kazi ipo
  10. Steven Jibe

    JamiiForums Tanzania Tambua maana ya herufi ya kwanza ya jina lako hapa

    Una matatzo ujue
  11. Steven Jibe

    JamiiForums Tanzania Nyimbo za Hard Blasters Crew (HBC)

    Asante Naomba ntumie whatsap 0756899800
  12. Steven Jibe

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Filikunjombe, Lowassa alia

    R. I. P
  13. Steven Jibe

    JamiiForums Tanzania Familia ya CDF Mwamunyange: Yupo nje ya nchi kwa majukumu ya Kitaifa

    MUNGU amjalie afya njema
  14. Steven Jibe

    JamiiForums Tanzania Familia ya CDF Mwamunyange: Yupo nje ya nchi kwa majukumu ya Kitaifa

    Mi nahisi ni mihuni ya CCM ndo inafanya maujinga haya
Back
Top Bottom