Nyimbo za Hard Blasters Crew (HBC)

Steven Jibe

Member
Jul 31, 2014
17
4
Habari wana jf,polen na majkum ya kila siku.
leo nashuka kwenu kuwaomba wale wenye audio za album ya bongo flev ya kund la Hard Blasterz Crew(HBC),lilokua lnaundwa na Niger Jay(Prof Jay),Fanani,na Biggy Willy.
nymbo hzo ni,

1.funga kaz
2.tuko nyuma kimaendeleo
3.nusu pepon nusu kuzm
4.fanani
5.pata potea

ntashkur sana wanajamii wenzangu nikzpata kupitia hapa hapa
 
dah Mkuu ukizipata izo itabidi unigaie maana nimezimiss sana
 
nakumbuka nilikuwa na album yao ya HBC funga kazi lakini ilikuwa tape tulikuwa tunaisikiliza sana Dom(bwenini) 2000 hiyo nyimbo chache sana za HBC ninazo;chemsha bongo,mamsup,kuzipata baadhi ingia eastafricantube utapata nyingine kuna jamaa mule anaitwa Chuma anazo nyingi sana...
 
Habari wana jf,polen na majkum ya kila siku.
leo nashuka kwenu kuwaomba wale wenye audio za album ya bongo flev ya kund la Hard Blasterz Crew(HBC),lilokua lnaundwa na Niger Jay(Prof Jay),Fanani,na Biggy Willy.
nymbo hzo ni,

1.funga kaz
2.tuko nyuma kimaendeleo
3.nusu pepon nusu kuzm
4.fanani
5.pata potea

ntashkur sana wanajamii wenzangu nikzpata kupitia hapa hapa
Umezipata? kama bado nicheki hapa 0713210056
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom