hahahahahahaha monduli wako makini mzee kaa chini fikiria cha kutudanganya ila si kwa gia hiyo.....mabadiliko lowassa....lowassa mabadiliko......people's power....ukawa mbele kwa mbele
Acha uongo asee nko Arusha na lema anapga mzigo kama kawaida ila magamba ndo yameshindwa kabisa hata mikutano yao wanafanya sokoni ili waonekane wana watu alaf unatudanganya live dah
hahahaha yan hujielewi wewe unafurahia nyumba kumomonyoka alafu unasema utaendelea kulala kwa amani...your dead and gone...think twice before posting anything...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.