Recent content by Stephen Shayo

  1. S

    Serikali yawajibu UKAWA kuhusu safari za Rais

    haya ndo majibu ya wizara ya mambo ya nje? kweli wizara inatoa majibu mepesi namna hii kwa jambo zito kama hilo
  2. S

    Nisaidieni nampenda sana

    usiende kwa mganga kwasababu mganga anatumia nguvu za giza na nguvu hizo za giza ni za kwa upande wa shetani, alafu shetani hawezi kumpa mwanadamu kitu kizuri hata siku moja,kitu atakachokupatia ni kwa ajili ya kukuangamiza zaidi japokuwa kwa mwanzoni utakiona kizuri.
  3. S

    Nahitaji ushauri juu ya ndoa hii niliyokuwa msimamizi

    Mi naona hapa shida ni moja tu USHIRIKINA na UCHAWI. Naomba msinielewe vibaya sababu nimehukumu directly ila kwa akili za kawaida tu,haiwezekani watu ambao ni wanandoa na wakipendana sana watengane bila external forces ambazo ni hazitambuliki kwa akili za kibinadamu. Apo cha muhimu atafute...
  4. S

    Kingereza ni kigumu kweli

    I am their Hippopotamus = Mimi ndio kiboko yao
  5. S

    Mimi ni Polisi: Fastjet

    Mentor upo vizuri kaka, Story inavutia
  6. S

    Nataka kupenda kama mjinga, nizame nipotee!

    kama uko serious unataka ufurahie mapenzi,mpende kwanza MUNGU kwa style hiyo unayosema.Yani wewe ukisikia mambo ya MUNGU akili yako inaruka kabisaaa. Then utakae mpata atakupenda na wewe utampenda na mtafurahiana. Tafuteni kwanza ufalme wa MUNGU na hayo mengine yote mtazidishiwa.
  7. S

    Eti mdomo wangu unanuka kama bomba la choo

    aaaargh kila mtu katumiwa msg ya kutukanwa na demu,kama unakosa kitu cha kupost bora utulie tu kuliko kupost vitu ambazo hazina mbele wala nyuma
  8. S

    Nafasi za kazi TPB

    Nafasi ndo hizo wadau changamkia fursa
  9. S

    X wangu kaniambia nimemroga!

    The boss unaamini bible? Maana hivi vitu kule viko waziwazi sana
  10. S

    YALIYOJIRI: Jana nilienda Bagamoyo kwa Mganga

    Pole sana kwa matatizo kaka,ila kosa ulilolifanya ni kwenda kutafuta suluhisho kwa mganga Hilo ndugu ni pepo la utambuzi kwa ivo lazima liweze kukutabiria. uhalisia ni kwamba hizo unazopitia ni vifungo na laana za vizazi na vitazidi kufuatilia familia yenu mpaka kwa watoto wenu na watoto wa...
  11. S

    Nimwambie au ninyamaze? Nimechanganyikiwa

    Una mawazo kama yangu tu,huyo mumewe ndo analea huo upuuzi we huwezi kubali kimada aende mpaka kwa mama yako na ndugu zako alafu una mke,watoto 3 na ndoa ya miaka 12 aongee na huyo mume wake bila kuficha chochote,na mdogo wake amwambie
  12. S

    Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

    Nteminyanda Witte Lufulondama-Udom - COED
  13. S

    Jamaa kaenda kuomba kazi BBC

    hahahahaha kama una hasira za karibu unaeza mpiga ngumi
  14. S

    Touching story

    A small boy saw a dead cat on his way home from school. Overwhelmed by emotions,he went close to the cat and touched it. He touched it again.He touched it again and again and again. He could not stop touching it. And he went on touching it. Anyway like I said it's a touching story
  15. S

    picha-Heaven on desert siku nyingi sijajitundika humu...

    Hata kama haukubaliani na kitu alichofanya,lakini lugha za kejeli na kudhalilishana hazifai. Mwambie tu ahamishe picha,au huku sio mahala pake sio maswala ya kuanza kurushiana maneno kama hayo Naomba tujirekebishe hapo wakuu
Back
Top Bottom