Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 72,021
- 177,335
asee pole sana ukizingatia na hali uliyonayo inahitaji moyo kwakweli...unampenda kweliii au just because una mimba yake so no way out! mimi nakuonea huruma hiyo mimba tu others does not count....... je mliish pamoja kama waliooana au ndo cohabitation tu...??? are you economically independent or dependent? wakati huo anasema hakupendi anakufanyia vituko ama??? so bad...