Recent content by stellahthatcher

  1. stellahthatcher

    Zitto: Kwa ripoti ya CAG Serikali imepata hati chafu

    Ukijua yanayoendelea kwenye nchi hii roho inauma sana.
  2. stellahthatcher

    Facts The Economist Got Them Wrong on Magufuli

    Hii inasema ni fake news
  3. stellahthatcher

    Tufanye nini ili vijana wengi waingie kwenye Ujasiriamali wa Kijamii?

    Mitaji na uwezeshaji kwa mazingira bora ni muhimu ili kuwavutia vijana ambao wanaweza kuwekeza katika fursa hizi; * Biashara ya Kilimo na kilimo usindikaji ikiwa ni pamoja na viwanda * Biashara inayohusu vyombo vya habari, masoko, mawasiliano, michezo, vifaa, sanaa na utamaduni, utalii na...
  4. stellahthatcher

    Tufanye nini ili vijana wengi waingie kwenye Ujasiriamali wa Kijamii?

    Takwimu zinaonyesha kuwa idadi ya vijana katika nchi zinazoendelea kama Tanzania inaendelea kukua kwa kasi sana na hivyo kuongezeka kwa vijana wengi wasio na ajira na wenye hali duni ya maisha, ukosefu wa mitaji, ukosefu wa mbinu jumuishi na kukosa fursa za kiuchumi.
  5. stellahthatcher

    Linda mawasiliano yako na App ya SMS Secure

    BansenBurner Alisen Papushikashi Magazine Fire miss chagga SANCTUS ANACLETUS @mngonyExcel Mussolin5 Jimena Inferiority Complex gwijimimi wambura marwa Hoshea shareef conscious wambeke the BossDeejay nasmile gkileo Juma chief Mangi flani hivi Ngongo makaveli10 KENZY kadada wa pili Root...
  6. stellahthatcher

    Linda mawasiliano yako na App ya SMS Secure

    Tumefanya updates kwenye Application and its now better than it was before. Please download and let me your feedback.
  7. stellahthatcher

    Linda mawasiliano yako na App ya SMS Secure

    Simple. Download the App and let's chat.
  8. stellahthatcher

    Linda mawasiliano yako na App ya SMS Secure

    It's end to end encryption mkuu.
  9. stellahthatcher

    Linda mawasiliano yako na App ya SMS Secure

    I would like me and you to explore on that, how do I prove that?
  10. stellahthatcher

    Linda mawasiliano yako na App ya SMS Secure

    Habari JF, Secure SmS - Faragha, ni mfumo wa simu kwajili ya kupokea na kutuma meseji bila kuwa na uhitaji wa kutumia Internet. Hivi sasa kuna uwezekano wa kusomwa meseji za wateja katika mitandao tofauti bila ridhaa yao au bila agizo la kimahakama, Secure SmS haita muwezesha mtu yeyote kujua...
Back
Top Bottom