Zitto: Kwa ripoti ya CAG Serikali imepata hati chafu

Zitto kwa kutafuta "kiki" ni namba moja.

Zitto anawapata watu ambao ni wavivu wa kusoma makabrasha ya sheria na vitabu.

Mapitio ya hesabu jumuifu za taifa ni angalizo na ushauri unaotolewa na CAG kutokana na mahesabu yote serikalini kutoka taasisi na mashirika ambapo alisema kwenye baadhi ya maeneo mahesabu hayaridhishi.

Hii haina tofauti na kufanya hesabu ya 2x3x4x0=0

Hui ina maana kuwa kama kuna taasisi 1 kati ya 10 iliyopata hati isiyoridhisha ina maana hata kwenye hitimisho la hesabu jumuishi itakuwa hati isiyoridhisha.

Eti fedha za umma haziko salama kwenye utawala wa awamu ya tano! Ni lini zilikuwa salama kwa sababu hata kwenye Jimbo lake linaloongozwa na ACT-Wazalendo limepata hati chafu. Au alidhani hizo siyo pesa za umma?

CAG ametuambia kuwa kwa ujumla kuna mafanikio katika utunzaji wa pesa za umma ukilinganisha na miaka ya nyuma lakini hii haifuti ukweli kuwa baadhi ya taasisi za serikali zimepata hati chafu.

Hajui kuwa hayo majumuisho ni pamoja na Halmashauri ya Ujiji Kigoma ndio yanatoa ukweli wa kwa serikali katika utunzaji wa pesa.

Hizi "kiki" za Zitto zilikuja na zikapita!

Baada ya kufariki Mke wa Mandela alijitokeza haraka haraka na kudai ACT-Wazalendo itatuma jopo la viongozi wake kuhudhuria msiba. Hakuna aliyekwenda!

Alisema atafungua kesi mahakamani kupiga kuondolewa kwa katibu wa bunge. Hakufungua.

Alisema atafungua kesi mahakamani kwa sababu polisi wamemzuia kufanya kazi zake jimboni. Hakufungua.
Nakuona unavyotetea upuuzi, kama CAG kasema pesa zinapotea, wewe unabisha nini Zitto akitufafanulia?? Tulia hivyo hivyo, awabue watanzania tujue wizi wenu.

You can run but you ca not hide.
 
Tunakuomba pia uzungumzie hati chafu waliyopewa halmashauri ya Kigoma
 
Zitto kwa kutafuta "kiki" ni namba moja.

Zitto anawapata watu ambao ni wavivu wa kusoma makabrasha ya sheria na vitabu.

Mapitio ya hesabu jumuifu za taifa ni angalizo na ushauri unaotolewa na CAG kutokana na mahesabu yote serikalini kutoka taasisi na mashirika ambapo alisema kwenye baadhi ya maeneo mahesabu hayaridhishi.

Hii haina tofauti na kufanya hesabu ya 2x3x4x0=0

Hui ina maana kuwa kama kuna taasisi 1 kati ya 10 iliyopata hati isiyoridhisha ina maana hata kwenye hitimisho la hesabu jumuishi itakuwa hati isiyoridhisha.

Eti fedha za umma haziko salama kwenye utawala wa awamu ya tano! Ni lini zilikuwa salama kwa sababu hata kwenye Jimbo lake linaloongozwa na ACT-Wazalendo limepata hati chafu. Au alidhani hizo siyo pesa za umma?

CAG ametuambia kuwa kwa ujumla kuna mafanikio katika utunzaji wa pesa za umma ukilinganisha na miaka ya nyuma lakini hii haifuti ukweli kuwa baadhi ya taasisi za serikali zimepata hati chafu.

Hajui kuwa hayo majumuisho ni pamoja na Halmashauri ya Ujiji Kigoma ndio yanatoa ukweli wa kwa serikali katika utunzaji wa pesa.

Hizi "kiki" za Zitto zilikuja na zikapita!

Baada ya kufariki Mke wa Mandela alijitokeza haraka haraka na kudai ACT-Wazalendo itatuma jopo la viongozi wake kuhudhuria msiba. Hakuna aliyekwenda!

Alisema atafungua kesi mahakamani kupiga kuondolewa kwa katibu wa bunge. Hakufungua.

Alisema atafungua kesi mahakamani kwa sababu polisi wamemzuia kufanya kazi zake jimboni. Hakufungua.
Mbona kelele mingi weye binti? Ushaanza kuonjwa? Tulia hadi kesho usikilize press ya zzk.
 
Zitto kwa kutafuta "kiki" ni namba moja.

Zitto anawapata watu ambao ni wavivu wa kusoma makabrasha ya sheria na vitabu.

Mapitio ya hesabu jumuifu za taifa ni angalizo na ushauri unaotolewa na CAG kutokana na mahesabu yote serikalini kutoka taasisi na mashirika ambapo alisema kwenye baadhi ya maeneo mahesabu hayaridhishi.

Hii haina tofauti na kufanya hesabu ya 2x3x4x0=0

Hui ina maana kuwa kama kuna taasisi 1 kati ya 10 iliyopata hati isiyoridhisha ina maana hata kwenye hitimisho la hesabu jumuishi itakuwa hati isiyoridhisha.

Eti fedha za umma haziko salama kwenye utawala wa awamu ya tano! Ni lini zilikuwa salama kwa sababu hata kwenye Jimbo lake linaloongozwa na ACT-Wazalendo limepata hati chafu. Au alidhani hizo siyo pesa za umma?

Wakati Zitto akiwa Mwenyekiti wa PAC akipokea rushwa kutoka kwa wakuu wa NSSF kwenda kwenye kampuni fake ya LEKADUTIKITE hakuwahi kuona kuwa pesa za serikali haziko salama!

CAG ametuambia kuwa kwa ujumla kuna mafanikio katika utunzaji wa pesa za umma ukilinganisha na miaka ya nyuma lakini hii haifuti ukweli kuwa baadhi ya taasisi za serikali zimepata hati chafu.

Hajui kuwa hayo majumuisho ni pamoja na Halmashauri ya Ujiji Kigoma ndio yanatoa ukweli wa kwa serikali katika utunzaji wa pesa.

Hizi "kiki" za Zitto zilikuja na zikapita!

Baada ya kufariki Mke wa Mandela alijitokeza haraka haraka na kudai ACT-Wazalendo itatuma jopo la viongozi wake kuhudhuria msiba. Hakuna aliyekwenda!

Alisema atafungua kesi mahakamani kupiga kuondolewa kwa katibu wa bunge. Hakufungua.

Alisema atafungua kesi mahakamani kwa sababu polisi wamemzuia kufanya kazi zake jimboni. Hakufungua.
Kachukue 7000 zipo tayari
 
...ndio maana wanabana vyombo vya habari...maana wanaficha maovu...likiwemo hili la ubadhirifu wa fedha za umma na matumizi mabaya ya madaraka....wakiondoka ndipo maovu yao yatajulikana kwa kina...BTW...kama wakiondoka.... Maana kuna kila dalili hawatotaka kuondoka madarakani kwa haki...
 
Hii ishu ipo wazi ata bila mahesabu mijitu ina kurupuka kutumia hela ovyo ovyo.

Shit kabisa.
Vipi makonda hanauwezo wakulisemea hili la CAG kwamaana limesewa katika mkoa wake
 
View attachment 744567 7; View attachment 744566

Serikali Kuu ( Hesabu Jumuifu za Taifa ) imepata HATI CHAFU. Sababu za Hati Chafu kwenye Sura ya Nne na ya Tano ya Taarifa ya CAG zinatishia kabisa usalama wa Fedha za Umma.

Kesho nitazungumza na Waandishi wa Habari kuchambua Taarifa ya CAG ya mwaka 2016/17 na kufafanua hoja nzito sana alizotoa CAG kwenye ukaguzi wake kwa Serikali Kuu.

Kiufupi Fedha za Umma hazipo salama chini ya Utawala wa Awamu Tano iwapo wataendelea na mtindo wa Uongozi walio nao.

Kuanzia saa tano kamili asbh tutakuwa livestream pia kwenye akaunti hii

Pia kumekuwa na maboresho ya hati za ukaguzI kwa kila mwaka. Matokeo ya ukaguzi kwa 2016/17 yamekuwa mazuri sana licha ya kuwa Serikali Kuu imeanza kufuga kikamilifu hesabu zake kwa kutumia viwango vya kimataifa visivozingatia pesa taslim (full IPSAS accrual). Matokeo kamili ya hati za ukaguzi zilizotolewa yameanishwa kwenye Sura ya Pili ya ripoti hii.
Ripoti Kuu ya Mwaka 2016 xvii -17 Serikali Kuu
 
Zitto kwa kutafuta "kiki" ni namba moja.

Zitto anawapata watu ambao ni wavivu wa kusoma makabrasha ya sheria na vitabu.

Mapitio ya hesabu jumuifu za taifa ni angalizo na ushauri unaotolewa na CAG kutokana na mahesabu yote serikalini kutoka taasisi na mashirika ambapo alisema kwenye baadhi ya maeneo mahesabu hayaridhishi.

Hii haina tofauti na kufanya hesabu ya 2x3x4x0=0

Hui ina maana kuwa kama kuna taasisi 1 kati ya 10 iliyopata hati isiyoridhisha ina maana hata kwenye hitimisho la hesabu jumuishi itakuwa hati isiyoridhisha.

Eti fedha za umma haziko salama kwenye utawala wa awamu ya tano! Ni lini zilikuwa salama kwa sababu hata kwenye Jimbo lake linaloongozwa na ACT-Wazalendo limepata hati chafu. Au alidhani hizo siyo pesa za umma?

Wakati Zitto akiwa Mwenyekiti wa PAC akipokea rushwa kutoka kwa wakuu wa NSSF kwenda kwenye kampuni fake ya LEKADUTIKITE hakuwahi kuona kuwa pesa za serikali haziko salama!

CAG ametuambia kuwa kwa ujumla kuna mafanikio katika utunzaji wa pesa za umma ukilinganisha na miaka ya nyuma lakini hii haifuti ukweli kuwa baadhi ya taasisi za serikali zimepata hati chafu.

Hajui kuwa hayo majumuisho ni pamoja na Halmashauri ya Ujiji Kigoma ndio yanatoa ukweli wa kwa serikali katika utunzaji wa pesa.

Hizi "kiki" za Zitto zilikuja na zikapita!

Baada ya kufariki Mke wa Mandela alijitokeza haraka haraka na kudai ACT-Wazalendo itatuma jopo la viongozi wake kuhudhuria msiba. Hakuna aliyekwenda!

Alisema atafungua kesi mahakamani kupiga kuondolewa kwa katibu wa bunge. Hakufungua.

Alisema atafungua kesi mahakamani kwa sababu polisi wamemzuia kufanya kazi zake jimboni. Hakufungua.
Wenzako GT wanajadili hoja wewe kwa kuwashwawashwa kwako unajadili watu!
 
Jamani nchi hii imelaaniwa na nani serikari wamepiga ela kwenye vyama ndo shida kabisa
 
Back
Top Bottom