Tatozo lipokwenye usomaji wa biblia na kutafsili. Biblia inaposema kesheni mkiomba kwa maana hamjui siku wala SAA haina maana kwamba watu wasilale inamaanisha kwamba muda woteuwe tayari kiroho,moyo wako usipungukiwe na neno LA mungu kwaaana hatujui Siku ya kuja mwana wa mungu. Inapokuja swala LA...
Nimeamin maneno ya kiongozi wangu wa dini kwamba ukiona kanisa linaongozwa na MTU mmoja na anaitakanisa kwa jina lake kimbia to Ka umo haraka sana mana sio dini ya mwenyezi mungu haiwezekani kanisa limegeuzwa kuwa uwanja wa siasa. Kwani ilo kanisa LA gwajima halina viongozi wengine au wachungaji...
Sasa mbona we ndo unaonekana unamatatizo,we MTU gani haongei na wew mpaka alewe .sasa iyo inayokukataza ni akili ya pombe wala sio yeye We nenda kabaliki ndoa yako uishi na mkeo kwa aman
Ukristo raha sana jaman. Hakuna dini iliyotam kama kuwa mfuas wa yesu kristo mana yeye mafundisho take no mazuri yana himiza upole,huruma,kutohukumu na kusamehe saba mara sabini yan ata ufanye dhambi kubwa kiasi gan katika ukristo bado unanafasi ya kutubu na ukasamehewa, yesu wetu sio mkatili...
BIBLIA INASEMA NA KUTUONYA KWAMBA HUWEZI TUMIKIA MABWANA WA WILI MANA HUWEZI ZUIA HISIA ZA UPENDELEO KWA KUONYESHA UPENDO MWINGI KWA MMOJA NA MWINGINE USIONYESHE. NDO MANA MNASHAULIWA KUO MKE MMOJA. AU BASI KAMA UMESHINDWA ACHA KUOA KABISA ILA UJUE NA UWE NA UWEZO WA KUZUHIA HISIA ZA ZINAA.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.