Tujuzane zaidi kuhusu nchi ya Ethiopia

Tujuzane zaidi kuhusu nchi ya Ethiopia

Uchumi wa nchi upo vizuri sanaaa ila wananchi ni masking sanaa Kwa africa ni nchi ya Kwanzaa kutoa wakimbizi wa kiuchumi

Ina maelfu ya wakimbizi wanaoishi somaliland
 
hujafikiwa ndio maana unautukuza udikiteita, au unanufaika na udikiteita ndio maana unasema hivyo. Ukikuta wazazi wako wamechinjwa vichwa ndio utajua maana ya udikiteita, unajisemea tu!
Hivi kiongozi leo kuna madiktekta kama Musolini,Hilter...etc Afrika ya leo hakuna Diktekta Sema ni Ukabila umezidi na kutojua utawala wa sheria
 
Bila kusahau kuna Mchezaji wa Czech Republic Theodor Gebre Sellasie Mwenye Asili ya Ethiopia baba Kutoka Ethiopia mama kutoka Czech republic
 
Hivi kiongozi leo kuna madiktekta kama Musolini,Hilter...etc Afrika ya leo hakuna Diktekta Sema ni Ukabila umezidi na kutojua utawala wa sheria
wapo tu, mtu anawekwa gerezani miezi 4 si hitler huyo, unatakaje. saanane yuko wapi, si mussolini! ethiopia wamekufa kwa maelfu na maelfu, google utaona
 
Mliotembelea huko vipi bange imeruhusiwa?.mnijuze km imeruhusiwa niende nikajifunze irrigation system najua nikitoka jioni naenda kula mjani
 
Any way..ndo nchi inaongoza kua na wanawake warembo Africa ikifuatiwa na Somalia.

Na uzao kutoka kwa yule mke wa Suleiman aliyesemwa ni mkushi.Kushi ni Ethiopia ya leo na uzao huo mlolongo wake ndiyo ulimzaa mfalme Haile Selassie

Ni nchi inayotegemea uchumi wake mkubwa kutoka kwenye usafilishaji wa ndege

Mtoto wa Bob Marley (Rohan Marley) anamiliki mashamba makubwa ya kahawa humo nchini.na imemtajilisha na kufungua kampuni ya mauzo huko Jamaica inaitwa Marley Coffee.

Wa Jamaica wanaichukulia Ethiopia kua ni nchi ya kihistoria na mtetezi wa watu weusi hasa mfalme Haile Sellasie

Ethiopia hudumisha bendela ya amani ya ki Rastafarian yenye rangi ya Kijani,Nyekundu na Njano kama sehemu ya ukumbusho wa Amani kwa wote

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA:

HIS IMPERIAL MAJESTY EMPEROL HAILE SELASSIE I THE FIRST
 
Naomba ufahamu kwani utawala wao waziri Mkuu ndie kama Raisi?coz naona amepewa heshima kama raisi vile.
 
Tukiwa tumepokea ugeni wa Waziri Mkuu wa Ethiopia sio mbaya sana leo tukipeana maarifa zaidi kuhusu nchi hii iliyopo pembezoni(horn) mwa Afrika kwani naona kama ina historia nzuri sana kuanzia enzi za kikoloni mpaka Leo.

Kwa uelewa wangu mdogo najua mji wake Mkuu Unaitwa Adis Ababa, imewahi kuwa na wafalme maarufu kama vile Menelik na Haile Selasie.

Ni kati ya nchi ambazo hazikutaliwa na Wakoloni pamoja na Liberia kama nlivyomsikia Rais wetu Leo katika hotuba yake ya Kumkaribisha Mgeni wake, na pia mwl wangu wa Historia aliniambia sababu kuwa Ethiopia ina asili ya milima yenye mawe makubwa hivyo walikua wakiwaporomoshea wazungu hayo mawe, Wakoloni wenyewe nasikia walikua Waitaliano.

Kwa kifupi ni hayo nawe unakaribishwa zaidi kutujuza kuhusu nchi ya Ethiopia.

Karibuni.
Pia wamepambana sana na waturuki kuzuia jihad
 
Historia ya Ethiopia inaanzia mbali sana hata kabla ya karne ya kwanza, ushahidi mwingine ni ule uliopo katika kitabu cha Biblia agano la kale ambapo Malkia wa Sheba alipofunga safari kwenda hadi mashariki ya mbali kumuona/kumsikiliza mfalme Suleiman na akarudi na mimba. Inaaminika waithiopia wengi wanamchanaganyiko na uzao wa kiyahudi hata wakati mwingine hujiita wayahudi weusi. Inaaminika kuna mpango mkakati unaoendelea kuwapa uraia na kuwarudisha Isarel.
Habari za mfalme Suleiman unaweza kuzipata kwenye kitabu cha 2 Nyakati 9:1-31.
 
Isarel.=Israel
 
Kuna Mistari ya Biblia inasema nitawainua watu wa Kushi na Seba...Hawa wanatamaduni zinazofanana na Israeli Waziri mkuu wa Israel alivyofanya ziara yake Ethiopia alitoa pendekezo la kuwarudisha Israeli waethiopia wote wenye Asili ya Israeli. REFER KUSHI EMPIRE
Asante
 
Historia ya Ethiopia inaanzia mbali sana hata kabla ya karne ya kwanza, ushahidi mwingine ni ule uliopo katika kitabu cha Biblia agano la kale ambapo Malkia wa Sheba alipofunga safari kwenda hadi mashariki ya mbali kumuona/kumsikiliza mfalme Suleiman na akarudi na mimba. Inaaminika waithiopia wengi wanamchanaganyiko na uzao wa kiyahudi hata wakati mwingine hujiita wayahudi weusi. Inaaminika kuna mpango mkakati unaoendelea kuwapa uraia na kuwarudisha Isarel.
Habari za mfalme Suleiman unaweza kuzipata kwenye kitabu cha 2 Nyakati 9:1-31.
Amen Ra
 
Wamewahi kurushiana Mizinga na Eritea Kisa mipaka kama India na Paskitani tu walivyokua wakigombania jimbo la kashmir
sio kurushiana mizinga,huwa wanapigana mara kwa mara na eritrea
 
Wamewahi kurushiana Mizinga na Eritea Kisa mipaka kama India na Paskitani tu walivyokua wakigombania jimbo la kashmir
sio kurushiana mizinga,huwa wanapigana mara kwa mara na eritrea
 
Ameongea vitu vya msingi sana anza na utalii,Umeme,Viwanda vya bidhaa za Mifugo hasa Ngombe, amepromote Lugha yetu ya kiswahili so ameongea kiswahili tu
wewe ulitegemea aongee lugha nyingine, zaidi ya hiyo hakuna nyingine anayojua labda kisukuma tu
 
Nilitegemea huu Uzi ungekuwa na details za kutosha hasa kutoka kwa ndugu zetu wa Mbulu ambapo kabila la Wairaq asili yao ni Ethiopia
 
Ethiopia wanamatukio sana sina uhakika nasikia Bob Marley naye kaburi lake liliamishwa kutoka Kingstontown (Jamaika) akaja kuzikwa upya Ethiopia wenyekujua watatutuja zaidi.
Hata ile dini ya rastafariii mungu wao yuko ethiopia
 
Back
Top Bottom