Recent content by Stekamba Dunia

  1. S

    JamiiForums Tanzania MWAKA 2016 kwa kheri nenda kama alivyoenda MAMA

    Dah.pole sana ndugu yngu .kifo cha mama ni mcba wa moyo .
  2. S

    JamiiForums Tanzania Hatukuwahi kujiandaa kubadilika

    Thanks
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kile kipindi ambacho nilipotea

    Kizibo 1,najihisi furaha unapokiri kuwa jamaa atajickia poa.coz napenda kuona furaha ya mwingne iliyosababishwa na Mimi..
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kile kipindi ambacho nilipotea

    Sawa kiongozi
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kile kipindi ambacho nilipotea

    Mshana Jr naomba namba yko ya simu pliz .post zako zimenipa fursa nyingi sana na nimezitumia ipasavyo.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Fahamu,mwanamke haridhiki wala hatosheki

    Asanteni sana.kwa kila aliyenena kwaajili ya MAMA,Asanteni mnaomtafuta MWANAMKE kwenye kundi la kina MAMA.Udhaifu wa WANAWAKE ulianza kuonekana tangu siku ile inayosemekana EVA(HAWA) alikula tunda alilokatazwa na MUNGU.lakini ukiwa na lengo la kuwa MKWELI Duniani,ukweli ambao unaweza...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Namtafuta Stephen Victor Mbwambo

    Kuna mshikaji nilisoma naye O_level morogoro educare anaitwa Alex Mbambo,cdhani kama wanafahamiana na huyo uliyemuulizia
  8. S

    JamiiForums Tanzania UMASIKINI

    SAFI SANA
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini mwanadamu anashindwa kuumba

    Binadamu Ana uwezo wa kuumba ila tatzo hataki kukubaliana na Hilo.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Msanii huyu anaitia aibu tasnia ya filamu

    Kawatshe wasiojielewa wenzako kama wewe,.wewe mwenyew hujui mm nan na nafanya nn,kama unafanya kazi ya TISS kuna utaratbu wake wa kutoa report za namna hyo na si kama ulivyotoa wewe humu,
  11. S

    JamiiForums Tanzania Msanii huyu anaitia aibu tasnia ya filamu

    Acha kufuatilia maisha ya mtu bali fuatlia maisha yko na yale yote yanayoweza kuathiri jamii mfano jambo la madawa ya kulevya hapo upo sahihi lakini maisha mengne ya familia za watu c vzuri kuyazungumzia,kwanza kisheria ni kosa kuzungimzia maisha ya familia flan kwnza wewe cyo msemaji wa...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Msanii huyu anaitia aibu tasnia ya filamu

    Kama mleta mada ni mwanamke basi tutaangalia nyuma ya ubongo wake huyo mtafit inawezekana ana chuki naye ukizngatia wasanii weng wa kiume wakipata umaarufu kidg tu lazma wawapitie sana viunoni,lakn kama ni mwanaume inawezekana aligongewa.haiwezekan kwa akili yko ya kibnadamu unaacha shuguli zako...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Msanii huyu anaitia aibu tasnia ya filamu

    Cku zote wanaofuatilia maisha ya watu ni nadra sana kufanikiwa lakn ni vyema tukiwa kama bnadamu tukaacha vle vtu vlivyowafanya wengi wawe masikini,..mtu mwenye malengo yaliyobeba ndoto za kufanikiwa huwez ukaacha shughuli zako na kuamua kumfuatilia mtu,.kwa vle nilivyomuelewa mm anadai kuna...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini Biblia imeandikwa kwa lugha ngumu?

    Habari za mungu ili uzikubali sharti kwanza ujitoe ufahamu na ikibdi uvae akili hata ya mbwa ,lakn ukiwa bnadamu kamili wa kufikiri ni vgumu kulikubali hilo...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Binadamu wa kwanza kuzaliwa na kuua

    Ni heri watu wakamgeukia mwanamke na mama duniani labda jibu la uwepo wa Mungu utajulikana.kiwango cha kumtambua Mungu kinaanzia kwa kumtambua MAMA kwanza ,ni hatari sana kuruka mamlaka,
Back
Top Bottom