Recent content by STEIN

  1. STEIN

    JF challenge ya "NO REFORMS, NO ELECTION": Target replies 3K

    NO REFORM NO ELECTION
  2. STEIN

    Piga Kura: Kati ya John Heche na Ezekiah Wenje nani anafaa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa?

    Elewa, Wanashindanishwa Heche na Wenje. Siyo Mbowe na Lissu.
  3. STEIN

    Mbona CHADEMA wanafanya Siasa peke yao. Wengine wapo wapi?

    Vyama vingine ni Mawakala wa CCM, Remote control zao Ipo Lumumba, wanasubiri mambo malaini kama vikao vya msajili na taskforce. Hii ya kutishiwa mara uhaini na uchochezi hawawezi.
  4. STEIN

    Kikatiba Majukumu ya Mkuu wa Wilaya ni yapi hasa, kwanini afutwe kazi kwa mambo ya CCM?

    Erythrocyte acha watu wazike watu wao... Watumbuane sijui Nini sisi tuhangaike na Bandari yetu, Misitu yetu na Maliasili zetu
  5. STEIN

    Kikatiba Majukumu ya Mkuu wa Wilaya ni yapi hasa, kwanini afutwe kazi kwa mambo ya CCM?

    Erythrocyte acha watu wazike watu wao... Watumbuane sijui Nini sisi tuhangaike na Bandari yetu, Misitu yetu na Maliasili zetu
  6. STEIN

    Siku ya Vijana Duniani kufanyika Jijini Mwanza. Freeman Mbowe kuhutubia Dunia Viwanja vya Furahisha

    Twende Bavicha, UVCCM wapo kwenye mipango ya kudalalia nchi, hawatumii Tena Akili Kila kitu kimewashinda hivyo tuna kazi ya kumwondoa huyu mkoloni mwesu CCM.
  7. STEIN

    Freeman Mbowe: CHADEMA itaboresha maisha ya walimu

    Akili ya MaCCM ni matope kweli, Kwani Mbowe alikiwa anakusanya Kodi? Mbowe alisemea sana haya mambo Ili maCCM yanayokusanya Kodi hayasikii ni ufisadi na kuuza Mali za imma. Uzeni na mlima Kilimanjaro mkimaliza bandari.
  8. STEIN

    Mbunge wa Ukonga, Chacha Waitara kazi imekushinda

    Ukonga hakina Mbunge anayeitwa Chacha Waitara... Pili Mbunge hakusanyi kodi ya Ukonga, kama wanaokusanya kodi ndani ya mwaka Mmoja tu 1.5T hazionekani na huenda zimenywewa Pombe na watu wa aina yako unategemea kitu gani? Pili wabunge upinzani hawafanyi kazi zao kwa kelele za MaCCM kwani tangu...
  9. STEIN

    Bomoabomoa Pugu kajiungeni jirani na ofisi za mbunge wa Ukonga.

    Tunajua hizi ni hujuma dhidi ya UKAWA, walibomoa nyumba Zaidi ya 700 Kata ya Kivule Sasa wanabomoa Pugu kwahiyo ni mambo yaleyale ya mkwajuni, na maeneo mengine yaliyobomolewa na serikali ya CCM Mbunge hana mamlaka ya kunomoa viwanda vya watu, ni wale tu wenye jeshi la polisi
  10. STEIN

    Yaliyojiri katika mahafali ya CHASO mbele ya Edward Lowassa - Karimjee Hall, Dar

    Tuko pamoja makamanda wa Chaso leo wanaweka Historia,
  11. STEIN

    Kutoka Mahakama Kuu: Kesi ya kupinga ushindi wa mbunge wa Ukonga, Waitara Mwita

    Jerry ana kazi, watu hawamtaki UKONGA anajilazimisha tu.
  12. STEIN

    Mbunge wa Ukonga Waitara ameutatua mgogoro kati ya Wafanyakazi na Uongozi wa Kiwanda cha NAMERA

    Hongera sana Kamanda Waitara, Umevunja rekodi ya Wabunge wa Dar es Salaam, Ndani na Wiki moja umeweza kukutana na Wananchi wenye migogoro ya Ardhi ndani ya jimbo la Ukonga. Mfano ni ule Mgogoro wa Mpaka wa Kazimzumbwi ulioathiri wananchi wa Kata tatu za Chanika, Zingiziwa na Buyuni.... Mgogoro...
  13. STEIN

    Yaliyojiri: Mazishi ya Mohamedi Mtoi, Lushoto - Tanga

    pole sana Familia ya Kamanda Mtoi
Back
Top Bottom