Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 59,506
- 103,164
Wakuu nimepita hapa Pugu Kajiungeni jirani kabisa na ofisi za mbunge wa Ukonga watu wamejaa soko na vibanda vya wafanyabiashara vimetawanywa pamebaki ground zero.
Kwakuwa nina majukumu naenda kisarawe namuuliza mbunge je ana taarifa hizi? Na je wafanyabiashara walijurishwa zoezi hili au wameviziwa tu usiku ndio hawa malaika wa kuzimu wakaja kufanya yao?
Jamani hivi wenzetu mmeshiba na kuvimbiwa kiasi kwamba hamzijuhi changamoto za mwezi January hasa kwa wazazi?
Mwita Chacha Mwikabe najuwa unapita humu hebu tueleze kile umachokifahamu, hili zoezi limefanyika sebuleni kwako kabisa.