tuache umbea, uzandiki, halafu vyeti na c.v. vimedhihirisha katika nchi yetu kuwa havijasaidia chochote. kama mtu kutoka chuoni anatumia muda na akili yake ya kununua kutafuta kuajiriwa, wengi ndio mpo humu. wakati mtoto wa kitaa alieshindwa kusoma akapigika kuuza mitumba kwa kutembeza , akameki...
wakristo hasa viongozi hawataki kujulikana kwa idadi hiyo kwa kuwa itaonesha namna gani wasivyofanya kazi wanayodai kuifanya kwa mabwana zao MAFIA WA VATICAN wakiongozwa na Don pope
Mbimbinho mh, bora niuchune maana sijatafutwa na nadhani wameshanisahau.............
Isije ikawa kuna ndugu yake humu JF..................LOL
naam tupo watu wa ununio humu tunachukua details kisha tuunganishe matukio kisha tutakuomba tukacheki DNA kwa uhakika zaidi hebu tuambie ulilala zile...
wewe ndio punguani na utakuwa ni ccm tu wewe sio bure!!! yaani unaweza kuthubutu kusema mradi ghari kama wa reli ni wa kuweka na kutoa we mzima nini kama ndo hivo reli ya moshi inafanya nini hadi leo na hakuna jipya kule ile reli ya mtwara ilikuwa inakuja kuwainua waislam wa kusini kuwa na...
hadi mwaka 1980 mikoa ya lindi na mtwara yenye ukubwa mra mbili ya kilimanjaro ilikuwa ina shule ya sekondari ya juu moja tu nayo ni NDANDA HIGH SCHOOL wakati wilaya ya hai ilikuwa na jumla ya sekondari za juu na kati 200. kwa nini wasipate kazi serikalini na waibe na kutoa sadaka kanisani...
kwa taarifa yako nyerere aling'oa reli kutoka bandarini mtwara hadi nachingwea iliyokuwa uti wa mgongo wa uchumi wa kusini kwa mazao ya mtama na korosho, akawaua kiuchumi kabisa maksudi.
''mtakatifu nyerere mwenye heri''
1.ANA MUONEKANO MZURI
2.ANAJUA KUVAA
3.ANAJUA KUONGEA
4.MVUMILIVU
5.HANA HASIRA KWA WANAOMCHUKIA
6.ANAFANYA MAZURI YANAYOWANYAMAZISHA WAPINZANI WAKE KILA KUKICHA
7.MELI ALIZOAHIDI ZINA ANZA KUJENGWA
8.PAMBA ZAKE KALI KULIKO RAIS YEYOTE AFRIKA MASHARIKI(angalia juzi alivokuwa dom)
9.anajua...
yaani mtu yuko serious watu wanafanya humu ndio pa kupotezea muda kwa kutapika tapika makande yao hii inafanya watu wengine kukata tamaa na kutumia hii kama sehemu ya kusemea yao yanayowasibu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.