Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,287
- 10,842
kuna zinazoanza january na ni miezi tisa nadhani,ni possible kumaliza mwaka huo huo....
Asante kwa kunielewesha maana nilishajiuliza mna. But wanaomfahamu wanatoa maneno ya utata kuhusu masters hiyo!!! Alimaliza? Kama alimaliza basi ni kwa tabu!!!!!