Natafuta ajira, electrical engineer

cjilo

JF-Expert Member
Sep 8, 2011
884
444
Nimemaliza Bacholor of Science in Electrical engineering chuo kikuu cha Daar es Salaam hapo jana tar 22/06/2012
 
Sugua kwanza benchi mbona bado una harufu ya kidenti? Hapo ulipo hata transcript huna hiyo degree yako utaijustify vipi?
 
da hongera mhandis,mie mwenyewe nimemaliza jana,Mungu yupo tutapata kaz,engineer hatuta sugua kama huyo mpuuz kagame..mie nilikuwa civil mwana..tutatoka
 
Sugua kwanza benchi mbona bado una harufu ya kidenti? Hapo ulipo hata transcript huna hiyo degree yako utaijustify vipi?
Hivi transcript ndo inafanya kazi au mimi mwenyewe?
 
Msiwe na shaka vijana mtapata tu ajira, subirini wenye hii ajira wakiiona hii watawapa punde, mngekuwa mmesoma masomo ya arts ingekuwa ishu ila wahandisi wahalali njaa town
 
yaani mtu yuko serious watu wanafanya humu ndio pa kupotezea muda kwa kutapika tapika makande yao hii inafanya watu wengine kukata tamaa na kutumia hii kama sehemu ya kusemea yao yanayowasibu
 
Tatizo la watoto ndo hilo, mkiwa chuo mnabaki kudanganyana kuwa maisha ni mepesi baada ya kumaliza hivyo videgree vyenu, huenda nikawa na mawazo ya kipuuzi na wivu wa kike ila baada ya muda mtakiri kuwa niliwaambia ukweli, Huo uandisi wenu tena wa kukariri mishuko tu usiwape jeuri kuwa mambo ni mepesi kama mlivyokuwa mnadanganyana.
Umesoma civil nawe wajiona mjanja, cv yangu kielimu itabaki kwangu tu ila watoto mliomaliza chuo chini ya ukuu wa chuo wa Mukandala vichwa havijakaa sawa hata module hazikusomwa effectively coz mlikuwa mwakimbizana na mikopo, tuacheni tuliosoma nyakati za Luhanga tule shavu.
Kama kijana nakushauri weka mawazo yako yawe neutral, omba mungu awajalie kulingana na mapenzi yake ila nyie mwaamini mtaani kuna kazi zipo zawasubirini, no experience, huna godfather, no degree certificate then wataraji kupata kazi kirahisi eeh, mtakula ngenga na mazee twasongesha maisha.
Chungu lakini jitahidini muimeze dry.

Nawasilisha
 
kambuku vyote,tuna uakika na kazi yetu

Kijana kama una uhakika na kazi yenu sasa watafuta kazi ipi mbona husomeki?
Wale wale kwenye interview za kiengineer mwaenda na suti!
Acha jazba kubali challenge ndo maisha yanavyosomwa huku uraiani.
 
Tatizo la watoto ndo hilo, mkiwa chuo mnabaki kudanganyana kuwa maisha ni mepesi baada ya kumaliza hivyo videgree vyenu, huenda nikawa na mawazo ya kipuuzi na wivu wa kike ila baada ya muda mtakiri kuwa niliwaambia ukweli, Huo uandisi wenu tena wa kukariri mishuko tu usiwape jeuri kuwa mambo ni mepesi kama mlivyokuwa mnadanganyana.
Umesoma civil nawe wajiona mjanja, cv yangu kielimu itabaki kwangu tu ila watoto mliomaliza chuo chini ya ukuu wa chuo wa Mukandala vichwa havijakaa sawa hata module hazikusomwa effectively coz mlikuwa mwakimbizana na mikopo, tuacheni tuliosoma nyakati za Luhanga tule shavu.
Kama kijana nakushauri weka mawazo yako yawe neutral, omba mungu awajalie kulingana na mapenzi yake ila nyie mwaamini mtaani kuna kazi zipo zawasubirini, no experience, huna godfather, no degree certificate then wataraji kupata kazi kirahisi eeh, mtakula ngenga na mazee twasongesha maisha.
Chungu lakini jitahidini muimeze dry.

Nawasilisha

mkuu mbona unaongea ukweli?
 
vijana mlipotea kama unahic kumaliza ndio kupata ulikuwa huna malengo ulizan sifa subir uone mpaka utakubaliana nami!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom