Recent content by state agent

 1. state agent

  Hospitali ya Taifa Muhimbili yajibu hoja za Wana JamiiForums kuhusu vifo Hospitali ya Muhimbili-Mloganzila

  Usitake kuharibu mada ,jiekeze huko hizi tuhuma zipo humu muda tuache siasa chafu ,tuungane na jpm kufichua maovu State agent Sent using Jamii Forums mobile app
 2. state agent

  Unataka Utajiri? Njoo Tunduma haraka!

  Biashara matangazo State agent Sent using Jamii Forums mobile app
 3. state agent

  Mashine za NIDA zote wilaya ya Arusha zaibwa

  Mkuu wa Wilaya ya Arusha Jery Muro ameiambia ITV muda mfupi kuwa mashine za kutengeneza vitambulisho vya utaifa wilayani humo zote imeibiwa usiku wa kuamkia leo. Taarifa hiyo imekuja muda mfupi baada ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo kutoa ratiba ya kuandikisha na kusajili vitamburisho...
 4. state agent

  Rais Magufuli, ukiwa unatoka Chato pitia Hospitali ya Mlonganzila iliyobatizwa Vingunguti

  Mamako wewe yule aliyena kovu kubwa mahala flani State agent Sent using Jamii Forums mobile app
 5. state agent

  Rais Magufuli, ukiwa unatoka Chato pitia Hospitali ya Mlonganzila iliyobatizwa Vingunguti

  Tangu uvunje ungo akili zimekuruka ,uadhadhani waotibiwa private ndio wenye pesa au huko private watu hawafi Matajili wote wa nchi hii wanafia muhimbili kwani mamako alikwambia pale ni private nyau wewe State agent Sent using Jamii Forums mobile app
 6. state agent

  Rais Magufuli, ukiwa unatoka Chato pitia Hospitali ya Mlonganzila iliyobatizwa Vingunguti

  Huko ambako CCM haitawali hakuna vifo Sent using Jamii Forums mobile app
 7. state agent

  Rais Magufuli, ukiwa unatoka Chato pitia Hospitali ya Mlonganzila iliyobatizwa Vingunguti

  Hahahah navyojua Mimi ukiwa jela imekula kwako hakuna cha kutoka kwenda kwenye sherehe au msiba State agent Sent using Jamii Forums mobile app
 8. state agent

  Rais Magufuli, ukiwa unatoka Chato pitia Hospitali ya Mlonganzila iliyobatizwa Vingunguti

  Imekuchoma Mzee baba tafuta chai unywe kwanza State agent Sent using Jamii Forums mobile app
 9. state agent

  Rais Magufuli, ukiwa unatoka Chato pitia Hospitali ya Mlonganzila iliyobatizwa Vingunguti

  Uongo huu ,pale kuna uzembe wa mazoea tu State agent Sent using Jamii Forums mobile app
 10. state agent

  Kwanini hakuna picha ya mtume wetu Muhammad (SAW)

  Achana na yule mwigizaji ,picha za yesu aka Issa bin Marian zipo State agent Sent using Jamii Forums mobile app
 11. state agent

  Kwanini hakuna picha ya mtume wetu Muhammad (SAW)

  Achana na yule mwigizaji ,picha za yesu aka Issa bin Marian zipo State agent Sent using Jamii Forums mobile app
 12. state agent

  Rais Magufuli, ukiwa unatoka Chato pitia Hospitali ya Mlonganzila iliyobatizwa Vingunguti

  Uko sahihi mkuu ni nchi nzima State agent Sent using Jamii Forums mobile app
 13. state agent

  Rais Magufuli, ukiwa unatoka Chato pitia Hospitali ya Mlonganzila iliyobatizwa Vingunguti

  Unajua maana rufaa acha uboya kwenda mloganzila sio umaskini hospital hii hupokea wagonjwa kutoka nchi nzima kama ulikuwa hujui State agent Sent using Jamii Forums mobile app
 14. state agent

  Rais Magufuli, ukiwa unatoka Chato pitia Hospitali ya Mlonganzila iliyobatizwa Vingunguti

  Acha upuuzi mkuu tangu lini chademq ikasomesha MTU State agent Sent using Jamii Forums mobile app
 15. state agent

  Vita ya Marekani na Mashariki ya Kati

  Soleman mikono yake imejaa damu acha afe mapema asijekuleta yq Osama State agent Sent using Jamii Forums mobile app
Top Bottom