Recent content by Star onair

  1. Star onair

    Nauza nguruwe watoto na wakubwa kwa wanaohitaji wa kufuga

    Ndugu si busara kutoa maneno kama haya katika tangazo la mwenzako. Tabia kama hizi ni sawasawa na Uchawi wa wazi tu. Labda hujawahi kuweka tangazo ukafanyiwa dhihaka kama hizi. We ukiona tangazo halikuhusu lala mbele.
  2. Star onair

    Ukweli kuhusu biashara ya Vanilla

    Absolute right. Alafu anajibu kirahisi tu. Inakatisha tamaa Sana hii. Kuna jamaa yangu yupo njombe anaielewa vizur kabisa hii ishu ila watu wanavyoitafsiri ni tofauti kabisa yn
  3. Star onair

    Simba imeshinda mchezo lakini Yanga tulikuwa bora zaidi yao

    Utopolo wanjidanganya *****. 1.Nidhamu yenu ya mchezo ni mbov kinoma 2 litimu bado halijaunganika vizuri alafu mnafoc kucheza kwa speed na kukamia matokeo yake pira lenu linakuwa la kihuni 2. 3. Kisingizio cha kadi ni ushamba tu. Sisi tumeshawahi kuwapiga nyinyi mech 5 tukiwa pungufu 4. Kama...
  4. Star onair

    Namna ya kupiga pesa online media

    Ni kwel Ila kama mtuanabidii yote yanawezekana.
  5. Star onair

    Namna ya kupiga pesa online media

    mkuu Karibu Sana kwenye kitengo hiki "Content creator" jaribu kujiunga na freelancing site then ujitangaze kule utapata tu wadau wanaohitaji. Pia Tengeneza hata page yakwako mwenyewe na uwe unapost ili ukipata deals ni simple kufanya reference kupitia Kazi zako mwenyewe
  6. Star onair

    Ha tunnel plus imegoma anayeweza kuirudisha

    Amkeni amkeni wadau wa voda wanaitandika huko.
  7. Star onair

    Nanunua chupa tupu za maji na juice. Kama unazo tuwasiliane

    Kwenye thread pale chini amemaliza kwa kusema "huu uzi unawahusu wafanyabiashara wa makopo tu". Sasa mazazwa yanaharibu uzi. Hii ni fursa kama mtaani kwako hakuna center ya kukusanya makopo Unaweza fungua na waokotaji wakaja kuyauza kwako
  8. Star onair

    Huduma: Host Website/System yako kwa Tsh 1,000/= tu kwa mwezi

    Vp kama nahitaji mnitengenezee nyie wenyewe website full itaweza cost sh ngP?
  9. Star onair

    Natafuta muwekezaji kwenye Biashara ya Photography, Video Production na Graphics Design

    Jitahidi Kushiriki vizuri katika matukio ya kijamii. Huku ndipo connection zinapatikana kwa haraka. Usisubiri kuambiwa nenda Kanisani. Pub & restaurant by Attend sherehe mbalimbali We foc tu connection na kama utapata camera yako we zuga nayo itakutengenezea jina
  10. Star onair

    Nina mtaji wa Milioni 5, ninaomba mwongozo biashara ya nafaka

    Shinyanga Mchele unapatikana unaweza uweka store na ukauza baadae kwa bei kubwa. Pia jitahidi tafuta wateja wakenya achana na miyeyusho ya wabongo
  11. Star onair

    INAUZWA Tunauza vifaa vya simu

    Morogoro + Dsm
  12. Star onair

    INAUZWA Tunauza vifaa vya simu

    Karibu sana
  13. Star onair

    INAUZWA Tunauza vifaa vya simu

    Thanks mr Jasmoni Tegga for your reply. There is one thing you should get to know, in life we start doing what is necessary then we do possible thing n when we got to alot of opportunities and experience we can do whatever seemed impossible. I got Great deal ( u can review my latest threads)...
  14. Star onair

    INAUZWA Tunauza vifaa vya simu

    Hii hapa usb ya Nokia Hii ni muhimu hata kwa mafundi simu hutumika kuflashia simu
  15. Star onair

    INAUZWA Tunauza vifaa vya simu

    Karibu Sana mr nyakandula Napenda kukujulisha kuwa kwa sasa sina kioo hicho. Nitatoa taarifa hiyo nitakapo-kuwa-navyo. Ahsante
Back
Top Bottom