Mara nyingi hizi site zinafaaa uwe na PC kuliko simu kukamilsha tasksmkuu Karibu Sana kwenye kitengo hiki "Content creator" jaribu kujiunga na freelancing site then ujitangaze kule utapata tu wadau wanaohitaji.
Pia Tengeneza hata page yakwako mwenyewe na uwe unapost ili ukipata deals ni simple kufanya reference kupitia Kazi zako mwenyewe
Ni kwel Ila kama mtuanabidii yote yanawezekana.Mara nyingi hizi site zinafaaa uwe na PC kuliko simu kukamilsha tasks