Recent content by Stanleyabra

  1. S

    Tathmini: M4C Fundraising Dar wapi hapakuwa sawa na nini Kifanyike

    Huyu hanalolote msiumize kichwa bure wana jf. Nigamba huyu.
  2. S

    Jinsi ya kutumia simu ambayo ina usb ku access internet kwenye kumputa

    Kama unatumia Nokia nenda kwenye internet harafu search software inayo itwa PC SUITE harafu download ni bure kbs ukimaliza fanya installation kwenye pc yako hiyo itakuwezesha kukonect na simu.
  3. S

    Blog nyingi za wabongo....UBUNIFU NI SIFURI

    Tatizo hii fany imeingiriwa na watu ambao hata hawajui mambo ya kuchapa code za html pamoja na css kwa hiyo ndo maana hata blog hizo muonekano wao si mzuri lkn twapaswa kuwakosoa wapi wanakosea maana technologia ndo tunaipokea.
  4. S

    Aden Rage aomba muongozo kwa Spika kuhusu Tundu Lissu

    Kwanza amefisadi kwenye usajiri wa timu ya Simba kwa 10% mpaka imefungwa usajiri wake mbaya sana kichefuchefu.
  5. S

    Tundu Lissu ataja wabunge wanaotuhumiwa kwa rushwa, Zitto si mmojawapo

    Kutaja watu ni mafisadi si jambo la mchezo linahitaji majasiri kama tundu lisu anasitahili kupewa hongera wana jamii.
  6. S

    Zitto ajieleza mbele ya Sekretariat ya CHADEMA kwa masaa 3, kukutana na vyombo vya habari

    Tusubili hiyo kesho lkn kaa mkijua kuwa alikuwa akiwindwa mda mlefu na hizo ni mbinu za kumwua kisiasa.
  7. S

    Gazeti la MwanaHalisi lafungiwa kwa muda usiojulikana!

    Hii ni dalili mbaya ya serikari kushindwa kuwa vumilivu inataka tu habari za kusifia kwa mwenendo huu tutazidi kuwa masikini tu.
  8. S

    Wabunge wote wa upinzani watoka bungeni baada ya Spika kukataa kuahirisha bunge

    Kweli hii ni aibu ya mwaka, spika anamatatizo sana maana anaona kila jambo linalo zungumziwa na mpinzani nilakipuuzi kweli kama ingewezekana wabunge wange chagua spika mwingine lkn nikitu kisichowezekana.
  9. S

    Hatimae Sabodo achangia harusi.

    Watanzania kinacho tusumbua ni njaa tu na wivu, huyo mtu anapesa za kutosha tusipende kujaji vitu ambavyo hatuna uwezo navyo acha watu wamchangie Dr slaa.
  10. S

    Bunge limeahirishwa kutoka na ajali ya Mv Skagit

    Hizi ni habari za kweli meli ni ya abiria na mizigo na inauwezo wa kubeba watu 250. Tumwombe Mungu ili watu waokolewe kwa usalama.
  11. S

    Bernard Membe: Nina maadui 11, ikifika 2016 watakimbilia Kenya!

    Kweli ITV inaupendeleo kila siku Membe.
Back
Top Bottom