mimi nawashangaa sana 900Mb kwa999 kwasiku lakini 2Gb kwa 6000 kwa wiki not relevant wakuu hata mm nimeshtuka sijui kwa nini Tigo wamefanya mabadiliko haya yasiyo na tija
Hata mimi nilitaka kujiuliza vihi hili swala la Escrow nao ni uhalifu? na je hii kauli itatekelezwa na je limefanyika nje ya dar? na je kova analijua hilo .ok jamaa namkubali sana labda atalifanyia kazi hii ngoja tuone.
Hawa airtel na wao ni wezi tuu na hii timiza yao nimejaribu kuifuatilia nikaona kuna dalili za wizi kwa mfano mtu unakopa au unalipa deni ili upate mkopo mkubwa zaidi lakini cha ajabu mara meseji za kuthibitisha kuwa umelipa na una qualify kwa mkopo mwingine hazifiki labda mpaka siku mbili na...
yaani hata mm baada tu ya kifurushi kuisha imekua kero yaani nikiongea nao huduma kwa wateja wanasema wanakutumia configuration lakini uki install bado tatizo linakuwa palepale sasa sijui wanafanya makusudi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.