naiman64
JF-Expert Member
- Nov 22, 2013
- 6,988
- 5,503
Asante kwa taarifa. Piga huduma kwa wateja uwape vidonge vyao
Hawapokei watakuwekea muziki na takataka nyingine hadi mkono utachoka kushika
Asante kwa taarifa. Piga huduma kwa wateja uwape vidonge vyao
Hawa wezi wakubwa. TIGO Wamedhihirisha ujambazi wao sasa. Walitangaza kuwa kifurushi cha Internet cha 20000 kwa mwezi ni GB 30.
Nimeweka 20000 leo na kupewa 5GB kwa mwezi. Tafadhali usiingie mkenge. Mjulishe na mwenzako asije akaporwa hela zake. Naitupa mbali line ya Tigo. Tigo ni wezi na matapeli
Hawa wezi wakubwa. TIGO Wamedhihirisha ujambazi wao sasa. Walitangaza kuwa kifurushi cha Internet cha 20000 kwa mwezi ni GB 30.
Nimeweka 20000 leo na kupewa 5GB kwa mwezi. Tafadhali usiingie mkenge. Mjulishe na mwenzako asije akaporwa hela zake. Naitupa
mbali line ya Tigo. Tigo ni wezi na matapeli[/QUO
Hawa ni wezi wakubwa.
Mitandao ya simu inatupiga mtungo watanganyika
Kila sehemu vilio tu
We waache wakae hukohuko wasije wakatubana huku kwetu eatel a cha kabisa kuwaamsha walio lalaHahahaa
Hamia eatel o zantel
Hahaha ukazikomboa??
Hawa wezi wakubwa. TIGO Wamedhihirisha ujambazi wao sasa. Walitangaza kuwa kifurushi cha Internet cha 20000 kwa mwezi ni GB 30.
Nimeweka 20000 leo na kupewa 5GB kwa mwezi. Tafadhali usiingie mkenge. Mjulishe na mwenzako asije akaporwa hela zake. Naitupa mbali line ya Tigo. Tigo ni wezi na matapeli
Nimewahi kusema humu jf kwa wale waliokuwa wanaisifia tiGO kwamba wanaongezewa hela kama kumjali mteja. Sasa ndio zimeanza kurudi hela zao kwa style hiyo.
nilikuwa nanunua dakika 25 kwa 499 za tigo kwenda tigo leo wamepunguza zimekuwa 20 kwel nimeamin tigo hawana huruma wamekuwa kama majangiri
voda & tigo wezi,cha ajabu watu bado wanawawangania tu,hamia airtel au zantel