Sayansi tunayoisema ni lazima iweze Ku_prove failure tena kubwa kuhusu kuthibitisha uwepo wa Mungu. Lakini watu kama wewe na wengine wanaona ni rahisi kuamini kuwa Theory ya Evolution ni sahihi wakidai kuwa binadamu wa kwanza alikuwa nyani miaka milioni kadhaa huko nyuma.Je ni lini au baada ya...
hizo sheria wasome toka wap? kwani mtaala wa Tanzania ume-integrate lini somo la sheria za nchi kwa somo la civics au uraia? wakati hata katiba wewe na ccm yako hamtaki zionekane mkidhani wananchi wakijua vifungu vya sheria ya katiba ya nchi watawa wajibisha. Nina mashaka na uwezo wako wa kufikiri
Inauma sana kwa kijana mzalendo alietembea kwa miguu kuonyesha hisia kali dhidi ya dhulma, ufisadi, na uozo unaoendelea humu nchini then watawala wanawatia nguvuni na kuwafungulia mashtaka badala ya kuwasikiliza kibusara na kuwapa utaratibu waliotakiwa kuufuata. Lakini naomba serikal ya...
Mada zingine zinachekesha! sasa Nyerere kutoendesha gari ni shida? Isitoshe mtu anawezaje kujua kuendesha trekta but at the same time ashindwe kuendesha gari?! au kwa muanzisha mada trekta siyo gari? [ a tractor is not automobile/vehicle?]
Hivi mbona watu mnatokwa povu bila msngi wowote, mlidhani kupatikane kwenye list hiyo ya top 50 community school wakati kila kukicha elimu ya Tanzania inabakwa!!!!
juma nkamia hatorudi kwasababu zifuatazo:
1. Si mkazi wa jimbo na wilaya ya CHEMBA kwa sasa ingawa hapa jf mpo mtakaoona hiyo sio sababu lakini watu wa Kondoa kusini [Chemba] ni sababu.
2. Upuuzi na njama alizofanya ili umeme usielekezwe kwenye tarafa za FARKWA na KWAMTORO na badala yake...
Vyama vya cuf, cdm na undp vinaendelea na mkutano hivi sasa ktk kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa huku wajumbe wa vyama vilivyounda ukawa vikifafanua kwa nyakati tofauti ufisadi uliokubuhu unaofanywa ba ccm na kuiacha kondoa ikiwa hoi kimaendeleot
toka ilipopata hadhi ya kuwa wilaya...
Mwalimu wa Mathematics kwa shule ya sekondari (o-level & A-level) na pia ana ujuzi wa kufundisha computer anatafuta kazi. Kwa yeyote mwenye kuweza kumsaidia aweke contacts au ani PM.
higherlander sijapata kuona mtu upeo mdogo wa kiakil kama wewe, waarabu hawakuja tanganyika kama watawala hivo ni ngumu kujikita kujenga mashule kwan mtawala alikuwa hakubali ambaye ni mkolon mjeruman na aliyefuata baada yake, waarabu walikuwa wafanyabiashara na culture ya mfanyabiashara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.