Recent content by sqianne

  1. sqianne

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tusiingie kwenye mtego wa Nchimbi na CCM yake

    Watanzania=wanaccm Mchakato wa katiba utaandaliwa ki ccm na katiba itapita kwa nguvu ya ccm. Katiba mpya ni kwa masirahi ya chama Cha mapinduzi.
  2. sqianne

    JamiiForums Tanzania Gym "guys" je ni njia gani unatumia kupunguza uchovu baada ya mazoezi kupata matokeo?

    Wewe ni beginner, endelea na mozoezi baada ya mwezi na nusu utakua unaskia Raha baada ya kufanya mazoezi. hasa kwa sisi runners huwa tunafeel burudani sana baada ya tizi.
  3. sqianne

    JamiiForums Tanzania Hawa Halotel mboni Mtandao mzito hivi?

    Halotel ukiwa pembezoni mwa mji ipo hovyo sana
  4. sqianne

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    R.I.P sukari yao
  5. sqianne

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mange Kimambi: Disemba 9 fanyeni maandamano ya amani ya nchi nzima, sio Gen Z tu kila mtu atoke

    wenzenu burkinabe hawakua na makelele kama yenu
  6. sqianne

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mange Kimambi: Disemba 9 fanyeni maandamano ya amani ya nchi nzima, sio Gen Z tu kila mtu atoke

    KAMA HAMUWEZI KUFANYA KAMA AKINA TRAORE MSIHAMASISHE MAANDAMANO MNATUMALIZIA VIJANA WETU
  7. sqianne

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mange Kimambi: Disemba 9 fanyeni maandamano ya amani ya nchi nzima, sio Gen Z tu kila mtu atoke

    Nyinyi masoja mliovalia kiraia 29 na 30 October mlituingiza chaka, mlikua mstari wa mbele kuhamasisha tukaungana huku tukilindwa na wenzenu waliovaa bakabaka, bila kutarajia kama filimbi zitawaita makambini. Usiku wa October 30 kuamkia 31 filimbi zilipigwa makambini masoja wote mlikusanywa...
  8. sqianne

    JamiiForums Tanzania Ninavyoichukia teknolojia ya redio fm!Watu wa vijijini wametengwa sana

    nilikua naipata radio Somali bila kusahau sauti ya mkenya na radio Mumbai
  9. sqianne

    JamiiForums Tanzania Mind game za kishamba na utoto sijui zinaweza kumuathiri nani!

    kwa website ya Simba game ipo
  10. sqianne

    JamiiForums Tanzania Kwa upande wa Rhumba na Zouk kwa wanawake na wanaume, kuna wa kumfikia Oliver Ngoma???

    Tuliimba Lusa mwanamamaa😀😀😀
  11. sqianne

    JamiiForums Tanzania Kwa upande wa Rhumba na Zouk kwa wanawake na wanaume, kuna wa kumfikia Oliver Ngoma???

    O. Ngoma ndiye Mfalme wa miondoko ya zouk na soukoss
  12. sqianne

    JamiiForums Tanzania Kinatakiwa kiwanja 6m Dodoma sqm 1200 na zaidi eneo lenye umeme

    Aje chipogoro
  13. sqianne

    JamiiForums Tanzania GWAJIMA atimba mjengoni anawasikiliza

    🔨🔨🔨
Back
Top Bottom