Recent content by SPYnoCODE

  1. SPYnoCODE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume zilinde 'Shahawa' zako, huo ndo uhai wako

    Ukifanya hivi unakuwa ultra horny.. Mpaka midoli ya fashion kwenye maduka ya nguo utaiona ina shepu nzuri
  2. SPYnoCODE

    JamiiForums Tanzania Tukiondoa muda ni nini kinabaki?

    Hahah
  3. SPYnoCODE

    JamiiForums Tanzania Tukiondoa muda ni nini kinabaki?

    Hapo muda utakuwa umefreeze kwa hiyo speed mkuu
  4. SPYnoCODE

    JamiiForums Tanzania Tukiondoa muda ni nini kinabaki?

    Nakuelewa kwa namna ya uelewa wenyewe
  5. SPYnoCODE

    JamiiForums Tanzania Tukiondoa muda ni nini kinabaki?

    natumia simu napata tabu kutaka kuandika maelezo yangu
  6. SPYnoCODE

    JamiiForums Tanzania Tukiondoa muda ni nini kinabaki?

    Maana yake tumejitengenezea mfumo ambao ni ngumu kuishi nje yake, Lakini ingewezekana kuishi kama wakale, sindio ?
  7. SPYnoCODE

    JamiiForums Tanzania Tukiondoa muda ni nini kinabaki?

    Ni athari gani ambazo tunaweza kuzipata tukiondoa utambuzi huo wa muda ikiwa binadam wa mwanzo hawakuweza kuzipata na waliishi pasipo calculations za muda kama sisi tunavyozijua
  8. SPYnoCODE

    JamiiForums Tanzania Tukiondoa muda ni nini kinabaki?

    So tukiondoa akili ya kutokuujua tunaweza kuishi nje na muda ?
  9. SPYnoCODE

    JamiiForums Tanzania Taleban kuongeza kikosi cha wanaojitoa muhanga ndani ya Jeshi

    hahahaha Unapenda mabishano ya aina hii Umekuja mpaka huku!!😯
  10. SPYnoCODE

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Umeandika nn hapa kiongozi wangu
  11. SPYnoCODE

    JamiiForums Tanzania Tuache kufarijiana; Umasikini ni Laana, tuupige Vita

    Nakupuuzia.
  12. SPYnoCODE

    JamiiForums Tanzania Nampinga Robert Heriel kuhusu dhana ya umasikini

    Kuna mahali unapwaya, nakusoma kwa uzuri
  13. SPYnoCODE

    JamiiForums Tanzania Tuache kufarijiana; Umasikini ni Laana, tuupige Vita

    Mara nyingi watoto wa kishua ndio huwa wanauponda sana umaskini
  14. SPYnoCODE

    JamiiForums Tanzania Tuache kufarijiana; Umasikini ni Laana, tuupige Vita

    Ndomaana nikamwambia aitoe dhana ya kiMungu twende kwenye uhalisia...
  15. SPYnoCODE

    JamiiForums Tanzania Tuache kufarijiana; Umasikini ni Laana, tuupige Vita

    Hebu tutoke kwa Mungu, tuzungumze katika uhalisia... Unajua ukiwa mcheza draft mtu wa nje huwa analiona vizuri kuliko wewe mhusika
Back
Top Bottom