Recent content by springeta

  1. S

    JamiiForums Tanzania Msichana wa kazi anahitajika haraka

    Naomba tuwasiliane tafadhali
  2. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umdhaniae kumbe sie

    Asante kwa kunitia moyo ubarikiwe kwa sasa natfta kibarua niondke hku mwaka huu nimejpnga kurisiti najua Mungu yu mwema atafuta machozi yangu
  3. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umdhaniae kumbe sie

    Umenena yote yani hii hali omba isikukute unaweza tamani ujichimbie shimo ujifukie inauma Sana ni jana tu nimetoka kuambiwa nazeekea nyumbni sina Msaada wakati alipoumwa mimi ndo nlifua kila kitu kumuogesha mtoto wake anayemuona wa kumsaidia alikuwa na kinyaa hta kutupa pampers haya mambo...
  4. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umdhaniae kumbe sie

    Yani ni kma unanizungumzia mimi napitia haya kabisa na inaumiza sana
  5. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Weekend Story! DESPERATE!

    Mie naisubiri ya saa 7
  6. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake mnatuchukuliaje wanaume tusiotumia kilevi?

    Ahaa nko kwenye mkakati wa kuacha kabisa
  7. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake mnatuchukuliaje wanaume tusiotumia kilevi?

    Kuna raha sana kuwa na mwanaume asiyetumia kilevi haswa na wewe ukiwa hutumii me ni mnywaji ila katika wanaume nliowahi kudate nao sijawahi kupata anayetumia kilevi natamani sana namimi niache japo inaniwia vigumu kila nkiacha narudia aisee wana raha Sana hawa wasiotumia kilevi
Back
Top Bottom