Nini Maana ya platform kama Jamii forum? Mindset ya namna gani hii. Unachukulia vitu personal.
Kuna ubaya kuomba experience ya watu wengine? People like you are a shame to this nation. Mnadiscourage sana watu maskini.
Umeona comment yangu nikisema kwamba hakuna sehemu ya kureview au kucomment...
Asante sana mkuu kwa maelezo haya. Kwa kweli yana mantiki na nimeelewa kwamba siyo kila mwombaji lazima apewe kiwango kilekile alichoomba.
Ninaelewa kabisa kwamba mradi unaweza kupitia Kamati ya Mikopo ya Kata na baadaye Kamati ya Wilaya, ambapo wanaweza kuangalia uhalisia wa business plan...
Asanteni sana wakuu kwa ushauri wenu. Kuna jambo muhimu ambalo labda sikuwa nimelieleza vizuri kwenye post yangu ya mwanzo.
Hii si biashara ambayo inaanza kutoka sifuri. Biashara tayari ipo na inaendelea kufanya kazi, na kwa sasa ina frame/stalls mbili zilizounganishwa pamoja. Mimi nimekuwa...
Habari wakuu,
Naomba ushauri kutoka kwa wenye experience na mikopo ya 10% inayotolewa na Halmashauri, hasa wale waliowahi kupitia mchakato huu.
Wife ni mmoja wa wanakikundi cha watu watano, na aliomba mkopo kupitia Halmashauri ya Kigamboni. Kwa upande wake, aliomba kiasi cha Tsh 9.6 milioni...
" walimu wengine na wanafunzi wakishindwa kuingilia kati mapema hadi pale mwalimu alipolazimika kumuomba mwanafunzi huyo msamaha ili kuokoa maisha yake."
Hii haimake sense kabisa. Huyu Mwalimu atakua na shida.
angekua ni mtu aliyenyooka i believe lazima walimu na wanafunzi wenzie wangeintervene.
Sports Analyst George Ambangile. One of my favorite, ameondoka wasafi rasmi. Nikiona biashara inaanguka hivi roho inaniuma lakini natamani sana kujua sababu for the purpose of learning ase.
Kai Havertz njee ... !! Jamaa nilitegemea afanye maajabu sana mwaka huu. Anways Arteta amepewa second chance ya kutafuta LW au striker atakaefit. Tunaweza tusisajili yoyote kazi kweli kweli.
Mbaya zaidi Viongozi Dodoma kule ndo wanaongoza kuwala hawa watu ase. Nilishashuhudia kabisa. Na vijana wanapenda sana shortcuts especially kutoka uswahilini wanaona wauze kinyeo kwa viongozi na wazungu watoboe. A very broken society with negative mindset. Ukisema udeal nayo kwenye family level...
Ndivyo wabongo tulivyo.
Judge a man by one mistake for all the good he has done in this country. Tunasahau sana.
A soldier who fought for his country.
A jurist who reformed its courts.
A priest who healed its spirit.
From the barracks to the bench, from Zanzibar’s Chief Justice at 32 to the...
Kaka kudos kwako kwa kutambua mchango wa the late Augustino Ramadhani. A man of integrity.
1. Military – Brigadier General in the TPDF.
2. Judiciary – Chief Justice of Tanzania.
3. Church – Bishop of Zanzibar in the Anglican Church.
Alikua amenyooka sana ase.
Hakuna forward atatokea Premier league kama Thiery Henry kwa miaka hii ambayo imetajwa. He was unstoppable, Strength, speed, technicality na precision. Wote tuliowahi kuangalia mpira zama hizi hakuna kama Titi, sio salah wala Drogba no one comes close. Na sio mimi wachezaji wote wa premier...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.