Hujui hata unachozungumza.... kama mtu amesomea nzige na anaenda kwenye interview ya bank inayohitaji watu waliosoma banking, accounting, finance nk. then bank inaamua kumchukua mtaalamu wa nzige na kuwaacha hao wengine wakiendelea kuzunguka na bahasha, huoni kuwa hiki chuo kinatoa graduate...
Aliyepewa kukaimu ni mkurugenzi wa fedha!!! Mkurugenzi mkuu anapigaje dili bila mkurugenzi wa fedha???
Mkurugenzi wa fedha ana uwezo wa kuongoza biashara ??au huyu ndo alikuwa anataka nafasi yake.
Sent from my SM-A710F using JamiiForums mobile app
Uliwahi kujua kufuatilia exchange rate ya Japanese yen? Unajua kenya shilingi ina thamani kubwa kuliko yen unapozilinganisha na dola? Je hii inamaanisha uchumi wa kenya ni imara kuliko wa Japan?
Ni kama ushindi wa Dr. Shein kwenye uchaguzi wa marudio. Huna mpinzani, so anaekwenda kupiga kura ni atakaye kuchagua
Sent using Jamii Forums mobile app
Fikra za kitumwa zinasumbua sana. Ukialikwa na wakoloni, ukaongea kikoloni unajisikia umefanikiwa sana. Yaani thamani yetu inapimwa kwa uhusiano wetu na wazungu....upuuzi
Kikwete alikuwa anaalikwa sana, tumenufaikaje kama taifa????
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.