N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 6,826
- 9,533
SUA watoe kozi relevant kibongobongo
1 . Mechanical Engineering (digrii ya kushika spana isiwe nadharia,wajengewe engineering lab kama COET) na engineering nyingine
2. Pharmacy tuna uhaba wa wataalamu eneo hilo
3. Funzeni walimu taifa linahitaji walimu Sana hili
4. Medical practices kwa ujumla wake
5. Kwenye agriculture hapo bakizeni kozi chache hizo digrii za nzige,na nyuki zipunguzeni mzisabstityuti na relevant science & social courses
Wekeni hata journalism halafu si mna redio na TV nyie hapo
My two siblings wamehitimu hapo wote ni walimu sasa walisoma kozi hata majina kuyashika ni shida...
Naweza kusahihishwa lakini hoja ya mleta sledi ina mashiko SUA jichunguzeni upya