Recent content by spinderella

  1. spinderella

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Shule ya Precious Pre, Primary and Secondary Goba ifanyiwe uchuguzi, kuna mambo yanaendelea si afya kwa watoto

    Ni ratiba ambayo inatuma sana na inakugharimu haswaa. Mwanangu nilimkodia bajaji mwaka mzima alimaliza la saba hapo 2022. Mdogo wake nae alikuwa ndio anaingia la saba 2024 nikamuhamisha lakini si kumpeleka boarding.
  2. spinderella

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kupata mimba pasipo ridhaa ya mwanaume liwe kosa la jinai

    Yaani hawaelewi kabisa maana ya mzunguko. Mtu anataka iangukie tarehe hiyo hiyo kila mwezi badala ya kuzingatia interval kati ya period moja na nyengine.
  3. spinderella

    JamiiForums Tanzania Ni kheri ufiwe na mzazi kuliko kufiwa na mume/mke

    Easier said than done.
  4. spinderella

    JamiiForums Tanzania Hongera Rwanda kwa kubadili muda wa kazi Ili kuwapa watoto muda wa kupumzika. Tanzania tunalo la kujifunza

    Mwaka mmoja unatakiwa upunguzwe lakini sio kwenye primary level. Inatakiwa Advance level iwe mwaka mmoja tu unatosha.
  5. spinderella

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    [emoji56]
  6. spinderella

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi mwanamke anayejiuza alivyogeuka kuwa wife material

    Hahaha!
  7. spinderella

    JamiiForums Tanzania Manjonjo ya watu wanayo yaweka kutokana na katuni za Tom & Jerry

    Tom ni mzee wa ideas, hakomi[emoji28].
  8. spinderella

    JamiiForums Tanzania Manjonjo ya watu wanayo yaweka kutokana na katuni za Tom & Jerry

    Mjomba yake alikuwa ni Uncle Pecos na guitar lake.
  9. spinderella

    JamiiForums Tanzania Manjonjo ya watu wanayo yaweka kutokana na katuni za Tom & Jerry

    Cousin muscles anaitwa. Jerry aliwahi kumuandikia barua ili aje kumtia adabu Tom. Dear cousin muscles, I'm having serious trouble with Tom. Need your help at once. Jerry. Alivyowasili sasa mziki wake, acha kabisa [emoji1787][emoji1787]
  10. spinderella

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Kuwa makini na mtu anayeomba simu yako atumie

    Mm nilichoelewa ni kwamba mleta mada ni mtaalam wa hiyo michezo ya kuibia watu kupitia simu zao, ila ameamua kuungama na kutuonya. This is his way of confessing as far as I'm concerned.
  11. spinderella

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kwenda kuishi Marekani inabidi ujipange

    Ilikuwa ni lottery ya mwaka gani and what was your case number if you don't mind.
  12. spinderella

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke kamkimbia jamaa yangu

    Duh kama mnada vile. So ng'ombe akauzwa to the highest bidder. Sasa ubabe wote huo mnashindwaje kumlisha mtoto wa watu nyama daily kama anavyotaka?
  13. spinderella

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke kamkimbia jamaa yangu

    Nonsense! Basi hapo mpinzani wenu kafanya counter attack yenye akili na amesha score.
  14. spinderella

    JamiiForums Tanzania Jiko la gesi lilivyozima ndoto na uhai wa Familia ya Abedi Falhum Msangi

    Anacheza na adrenaline rush.
Back
Top Bottom