Recent content by spiderweb

  1. S

    Serikali yapendekeza kodi kwenye ving'amuzi

    Tuna bandari tatu na tuna advantage ya kuwa na nchi nyingi ambazo ziko landlocked..which means kama tungekuwa na akili nchi hizi ni wateja tosha..tuna ardhi arable na kubwaa..tuna mlima kilimanjaro..tuna mbuga za wanyama zenye sifa za kipekee..tuna watu wajinga wengi ambao kwa viboko na...
  2. S

    Ujinga na Ushamba ni mzigo sana kwa Watanzania

    Kama wewe ndio mwenye akili..nakubaliana na wewe kwamba ujinga mwingi tanzania...
  3. S

    Huwezi kuwa Tajiri bila kuchukua Risk

    Watu kama nyinyi ndio mwiba wa fikra chanya...hata kama yeye sio tajiri... haimzuii kujua ni nini unatakiwa kufanya na kuweza kufanikiwa na kuwashauri watu wengine..ni kama mwanafunzi anayekuwa professor..
  4. S

    Miaka 25 ni mingi sana mtu kuwa bado hujakaa kwenye mfumo kimaisha?

    Kwa mentality hii uliyoionyesha kwenye hili andiko lako..i can certainly affirm to you kwamba hutafanikiwa kwa chochote..you will be miserable and a failure.unahitaji watu wa nje wenye matatizo yao mengi ambao hata wao wenyewe hawajua kama wamefanikiwa a la wakupe ushauri kama umefanikiwa..so...
  5. S

    Tetesi: Isaya Olepose Laizer adaiwa kukamatwa na Polisi kwa kumkashifu Waziri Mkuu huko Club House

    Kiongozi anayethubutu kusema uwongo kwenye nyumba ya ibada..huyo kwangu sio kiongozi..na uongo wenyewe ni usiofichika..unawezaje kuficha kifo.yule jamaa either anawadharau sana watanzania au kj...
  6. S

    Mlimani City walikuwa wanajiamini na nini hadi kumgomea Magufuli hivi? Inamilikiwa na nani?

    Issue sio yule magufuli..issue ni ujinga wa watanzania.khali ilivyokuwa kipindi cha yule muuaji inawwza ikajirudia tena anytime soon..kwa sababu factors zilizochangia muuaji yule kufanya alivyofanya bado zipo hazijabadilika ambazo ni katiba ya kipumbavu na watanzania wwnye akili za mbuni..MUNGU...
  7. S

    Joyce Kiria ni aina na mfano wa wanawake wa kuwakwepa kuwaoa

    Mwanamke mzuri asiekuwa na akili..sehemu zake za siri ndio huumia ni kama serikali inayoongozwa na viongozi wasio wabunifu.wananchi wake wanavyoumia kwa tozo.
  8. S

    Video: Fatma Karume Kwenye Mhadhara wa Kimataifa Asimulia Unyama wa "Kinyago Tulichokichonga Wenyewe"

    Alikuwa kila kitu ambacho hakikuwa sawa..hakustahili kuwa hata mbunge yule..shetani alieuchukua mwili wa mtu..chuki yake ilimuua mwenyewe na alowachukia bado wanakula mema ya nchi hii..huko aliko achomwe halafu achomwe tena..na atakposikia kiu wamyweshe siki..
  9. S

    Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

    Ukiañgalia hii picha..unaweza ukatoa ubashiri wa jinsi mahusiano yao yalivyokuwa..mwanaume kuna uwezekano amehustle sana kufika hapo alipo..labda anatokea from humble beginnings..story ya mtoto wa manzese kumiliki pisi kali ya mbezi beach..au kama mondi alivyommiliki wema..tension zinakuwa za...
  10. S

    Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

    Sex/ngono/mapenzi takes a huge chunk of our concetration and hence our energy..ukijidiscipline kuacha kwa muda.unajitoa kwenye mikanganyiko na all the fuss na stress zote za mapenzi..unakuwa mtu huru with a reserve kubwa ya energy ambayo unaweza kuidirect sehemu nyingine yenye manufaa...
  11. S

    Mabadiliko ya mwonekano JamiiForums - Juni 2022

    Mimi binafsi nashukuru kwa imani ya JF juu ya uhuru wa habari na haki ya watu kupashana habari.wewe melo umeishi imani hii kwa vitendo na kujipambanua hadhararani haswa kwenye nyakati zile za giza.jamii forum imekuwa mwaminfu kwetu kuliko michepuko yetu.
  12. S

    Nawaonea huruma rafiki zangu, usiombe kuzaa na mwanamke asie na akili

    Whu do you women sound and so passive..hamko proactive kabisa..kila kitu mnaona mnatendewa nyinyi..tuu..utasikia umenizalisha...mara umeniacha..mara umenitomba au umenichezea ukaniacha..you people mnatakiwa muwe responsible..tumieni hizo akilini zenu zaidi ya kupanua mapaja tuu..sio amekuzalisha...
  13. S

    Hanipi ushirikiano na ananitazama kwa macho makali wakati wa tendo la ndoa

    Kuna mtu aliwahi kusema..wazazi wengi huuza ng'ombe..kupeleka ng'ombe shule..
  14. S

    Watu gani watatu mashuhuri unaweza ukatundika picha zao ukutani kwako?

    Patrice lumumba..muammar ghadafi..thomas sankara..2pac atakaa chumbani kabisa..
Back
Top Bottom