ngakotecture
JF-Expert Member
- Dec 30, 2014
- 2,871
- 3,267
ndio mkuu unazani bila ivo itasurvive katika ligi Ntibanzokiza inabidi alipwe mamilioni.
Aiseeee !!!ndio mkuu unazani bila ivo itasurvive katika ligi Ntibanzokiza inabidi alipwe mamilioni.
Kivipi sasa , hiyo ishapita mkuu , hakuna wa kupingaNa linaloshauriwa nalo kama punguani bile!
Ongeza sauti mkuuNilichogundua tunamuonea bure Mwigulu, kuna watu wapo nyuma ya hizi kodi na tozo ili kuendesha nchi.
Wakati vyanzo vya uhakika kama bandari, madini,, Bahari na misitu havizungumziwi kwa msisitizo sababu ni zimefanywa mali za watu binafsi.
Mwigulu yupo kama pazia tu, hana nguvu, na hawawezi weka mtu wao achafuke sababu wanayoyafanya ni udhalimu na uchafu.
Ina maana mkuu hilo linaloshauriwa kupitisha madude ya hovyo hayo halitumii ubongo?Kivipi sasa , hiyo ishapita mkuu , hakuna wa kupinga
Ukisikia "casggading tax"alafu kingamuzi ni fixed ila data ni current.Wanatoza kiwexeshi ! .Duuh wanachukua kotekote.
Kwani za kwenye miamala hazitoshi au?
ikataliwe na bunge lipi , hili la wagonga meza ?Hii itakataliwa
Ije mara ngapi ?Bado kodi ya kutumia LUKU itakuja tu...Mavampaya yameamua sasa