Shukra kwa msaada lakini sijafanikisha mm natumia window 7 niki right click desktop yangu sipati hiyo tab/window ya Properties napata vitu tofauti ikiwemo graphic properties, naomba tena unisaidie,, baada ya ku install QB na ku change compitability to XP bado QB haifunguki...
Salama nina Toshiba laptop 4 ram, Window 7, kwa kazi yangu natumia accounting package QUICKBOOKS version 2006, na nisingependa kubadili hiyo version, Tatizo Window 7 haikubali hy QuickBook so nadhan nikibadili O/S kwenda Window 8.1 Ita Support hy QuickBook 2006, ili...
Wakuu salama ? kwa yeyote mwenye uwezo wa kunisaidia nikapata luku yangu ya kujitegemea ili kuepuka mzozo wa kuchangia kulipa umeme, sisi tuko jengo moja hapa kariakoo lenye maduka kumi hivyo wote tunatumia luku moja tu kwa kuchanga,, tatizo sio watu wote ni...
Kwa uhakika kwa mazingira yako hayo, asikudanganye mtu ni Open University Of Tanzania pekee inayokufaa na kwa hao wengine hapo oficin kwenu HAKIKA watakutambua, lakini uwe wa kujituma you will get what you need.
SALAMA WAKUU, simu yangu (Samsung Duos GT-56102) mssg ikiingia unasikia na kwenye screen inaonekana inbox lakini unapoifungua haionekani wala kufunguka sasa zinaonekana kwenye screen zinaongezeka, pili ukipiga simu baada ya kumaliza haionekani kwenye call list, naomba msaada wenu tafadhali
Muombaji awe na sifa zifuatazo
Umri 20 – 28 yrs
Jinsia wa kike
Elimu Form 4 au Form 6 (awe ana uwezo angalau wa kubabaisha kingereza)
Makao awe anaishi Dar es salaam
Vitambulisho vya makazi na barua ya utambilisho toka serikali ya mtaa anakoishi.
Udhamini...
Wakuu salama... ninazo daladala 2 nauza au kubadili na aina nyingine kama pick up, au hata saloon car yenye hali ya upya kwa ajili ya tax, hizo gari ziko kwenye hali nzuri na zote ziko kazini na vibari vyote ukinunua muda huo huo unaendelea kupokea pesa, njia ni G'lamboto - Ubungo piga piga 0754...
Wakuu salama... ninazo daladala 2 nauza au kubadili na aina nyingine kama pick up, au hata saloon car yenye hali ya upya kwa ajili ya tax, hizo gari ziko kwenye hali nzuri na zote ziko kazini na vibari vyote ukinunua muda huo huo unaendelea kupokea pesa, njia ni G'lamboto - Ubungo piga piga...
MSAADA NAMNA YA KUWEKA SIGNATURE/FOOTER KWENYE POSTS ZANGU
Haya maneno yanayo onekana chini ya post namna ya kuyaweka,,, pia mahala pa kupata AVATAR nzuri site zilipo za kuchagua
Wadau wa hisa za CRDB mwendo huu wa july hii munauonaje ? up to 295 then down to 270, 280 , . . . nani anaweza tabiri what is going to happen at the end of this month ? ? ?
KILA MOJAWETU AJARIBU KUTABIRI HAPA, ATAKEYE FAULU (10 x) HUYO NDIYE ATAKAYE KUWA CONSULTANT WETU HUKO MBELE
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.