Recent content by spectator Ion

  1. spectator Ion

    Nimepoteza uwezo wa kujiamini kabisa na sielewi hatma yangu

    Mwenyewe nimejiajiri ila tangu eid inaisha sijagusa mguu kwa ofisi yangu[garage] not sure whats got into me , i just dont feel it. Na apa sina hela na hapa nalala ndani siku kucha.
  2. spectator Ion

    Nani anamuelewa Pastor Tony Kapola?

    Kuna yule chuma zimeandinkwa DALE Wachungaji Wana drip kali na pesa balaa.
  3. spectator Ion

    Kama umezaliwa bila ulemavu wowote usiache kumshukuru Mungu hata mara moja kwa siku

    Noma sana malaria inaziba masikio balaa sio poa malaria
  4. spectator Ion

    Mawasiliano ndio kigezo kikubwa kinachoonyesha kama kuna mapenzi au ndio yamejifia

    Aloo. Nmekaa naona binti mashaalah. Sura inavutia haswa, shepu iyo kimo icho moyo ukapiga pah .. haha Nilimpenda kweli kumbe ye Hana time ya mapenzi anakitembeza TU , nami siachi Nala ila why akitembeze nngekaweka ndani.. ila dah. WA Ivi hawataki story we SEMA venue kale mzigo
  5. spectator Ion

    Siku atakayokufa watanzania watafurahi sana

    Uyo faru au nyati pichani?
  6. spectator Ion

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Uchumi wangu una sua sana, na ndoto za kuwepo shule , mara naota Niko kwenye maisha ambayo Sina kwasasa , yani na gari la kifahari and all that financial freedom .
  7. spectator Ion

    Na wao hulipwa posho za per diem?

    Ungekua Lulu ungegoma kwenda Korea? Naendelea kulipa kodi kitiifu..
  8. spectator Ion

    Nimeanza Breaking Bad, Tio anakera aisee.

    Bonge ya series iyo.
  9. spectator Ion

    Nampenda sana Mahondaw

    Harusi Bado , Scania XT for u guys iwatembeze siku ya harusi yenu😂
  10. spectator Ion

    Inadaiwa kuwa serikali ya Tanzania imeishiwa pesa na kuongeza wasiwasi wa kukamilika kwa SGR huku kukiwa na ahadi za uongo

    Au Ndo sababu wanapita uku kila siku wavaa shati za bluu .. kukagua kagua vyuma vyetu
  11. spectator Ion

    Mke wangu analalamika simridhishi, nataka nisimuoe

    Najua mwanamke ambaye tayari ni mama ni rahisi sana ku orgasm. Nawaza ukipata binti ambaye hajawa mzazi sijui tu siijui.
  12. spectator Ion

    Sitasahau siku pombe zilitaka kunitoa roho

    😂😂 haya ndo maisha bwana
Back
Top Bottom